Mwana FA asema wimbo "Muziki" wa Darassa umerudisha heshima Kwa wasanii wa hip hop

Hii habari sio nzuri kwa wenzetu wa Tandale.
Mwana FA unajitafutia uadui...soon wataanza kukuchambua kama karanga [emoji6]
Anko JK alikuwa na kamsemo kake "upepo tu huu utapita"

Kinyimbo kimoja tu basi watu wanamaliza maneno!!

Twendeni MTV, Trace, Channel O, SoundCity ndio tutaelewa nani ni nani??

Hako kanyimbo kenu hata kenya na uganda haitrend [emoji23] [emoji23] [emoji23]

# WCB # WinnersCycle
 

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maneno yaleyale ya tokea mwaka juz i.e MTV,Trace,Channel O

Hatutaki blahblah...muziki ndio habari [emoji6]

Pole babe,najua muziki wa Darassa unakuumiza sana lakini hakuna jinsi,ndio wakati wake sasa.
 
hongera darasa...
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
 
No pressure here babes! Madale we are running this industry.. [emoji6]
 
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] running kupitia kokoro?
Excuse me darling.
Kokoro one of the best songs kutengenezwa mwaka huu BARANI AFRIKA.! Yes I said it, Africa..

Alafu mama unajua unawatia wasiwasi kariakoo wataanza kuhisi unahamia CMG [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni kweli lazima tumtende haki na Ben Pol. Kafanya wimbo umekuwa mzuri.

Tunapenda kuona wanasonga mbele zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…