supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Chorus alipopita Ben pol kwenye wimbo wa muziki wa darassa umeongeza ladha zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anko JK alikuwa na kamsemo kake "upepo tu huu utapita"Hii habari sio nzuri kwa wenzetu wa Tandale.
Mwana FA unajitafutia uadui...soon wataanza kukuchambua kama karanga [emoji6]
Anko JK alikuwa na kamsemo kake "upepo tu huu utapita"
Kinyimbo kimoja tu basi watu wanamaliza maneno!!
Twendeni MTV, Trace, Channel O, SoundCity ndio tutaelewa nani ni nani??
Hako kanyimbo kenu hata kenya na uganda haitrend [emoji23] [emoji23] [emoji23]
# WCB # WinnersCycle
No pressure here babes! Madale we are running this industry.. [emoji6][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maneno yaleyale ya tokea mwaka juz i.e MTV,Trace,Channel O
Hatutaki blahblah...muziki ndio habari [emoji6]
Pole babe,najua muziki wa Darassa unakuumiza sana lakini hakuna jinsi,ndio wakati wake sasa.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] running kupitia kokoro?No pressure here babes! Madale we are running this industry.. [emoji6]
kama nyie Ni dangote cement sisi n twiga cement... .. acha maneno hebu zalisheniiii bna..No pressure here babes! Madale we are running this industry.. [emoji6]
Mtu wa tanga huyo ndo asili yao, we umuon ana mwanyahuyu kaka mnafiki sana
chunguza sana kauli zakekwanini mkuu?
ni kweli[emoji23][emoji23]Mtu wa tanga huyo ndo asili yao, we umuon ana mwanya
[emoji23] [emoji23] [emoji23]kama nyie Ni dangote cement sisi n twiga cement... .. acha maneno hebu zalisheniiii bna..
Kokoro one of the best songs kutengenezwa mwaka huu BARANI AFRIKA.! Yes I said it, Africa..[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] running kupitia kokoro?
Excuse me darling.
Hayo ni maoni yako na unaruhusiwa na katiba,ila kwangu mimi anazo nyimbo nyingi tu mbaya,mojawapo mbaya kwangu ni hii ya sasa.Mwana fa hajawahi kutoa nyimbo mbaya hiyo pia ni heshima
Kabisa mkuu.Ben Pol kafanya vizuri sana
Sawa madale hakuna bayaHayo ni maoni yako na unaruhusiwa na katiba,ila kwangu mimi anazo nyimbo nyingi tu mbaya,mojawapo mbaya kwangu ni hii ya sasa.
Ni kweli lazima tumtende haki na Ben Pol. Kafanya wimbo umekuwa mzuri.Kabisa mkuu.
Kumsifia Darasa kwenye muziki na kumsahau BenPol alivyoisimamia ukucha chorus kaifanya nyimbo kama yake.
--Ben Pol, Darassa, Harmonize Vmoney, Rayvanny, Joh Makini nk.. 2017 waongeze nguvu kimataifa sababu mwaka huu 2016 wamefanya vizuri sana.