Hehehehe naona team kibakuli wote wamehamia kwa darasa sasa, mmeona kibakuli kawaangusha nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maneno yaleyale ya tokea mwaka juz i.e MTV,Trace,Channel O
Hatutaki blahblah...muziki ndio habari [emoji6]
Pole babe,najua muziki wa Darassa unakuumiza sana lakini hakuna jinsi,ndio wakati wake sasa.
Utakua muhongajiHayo ni maoni yako na unaruhusiwa na katiba,ila kwangu mimi anazo nyimbo nyingi tu mbaya,mojawapo mbaya kwangu ni hii ya sasa.
Plus appearance za kina jux ktk video!Chorus alipopita Ben pol kwenye wimbo wa muziki wa darassa umeongeza ladha zaidi.
Huwezi kumfananisha Hamees Mwinyijuma na Darasa, lakini nakataa Darasa sio WA JUZI.Hyu darassa wa juzi tu mpita njia huwezi kumfananisha na "Mwanafalsafa"...
Ni wimbo usio wa Hip-hop uliofanywa na Mwanahip-hop na ukapendwa na wanahiphop.Hiyo nyimbo sio ya hip hop
Mi na Mabinti Dam dam unaikumbuka au ulikuwa unanyonya ziwa la mma?Kwanini heshima hakuweza kuileta yeye kutokana na nyimbo zake,au yeye sio msanii.......??
255 champion boy niite mbwana samattaAcha maneno weka mziki..
that is hiphop song!! nyie mnataka waimbe kama Yule jamaa wa hip hop bila madwa.. that is hip hop ana rap song.. enjoy drs musikiNi wimbo usio wa Hip-hop uliofanywa na Mwanahip-hop na ukapendwa na wanahiphop.
Hakuna mwana hip hop anapenda huo wimboNi wimbo usio wa Hip-hop uliofanywa na Mwanahip-hop na ukapendwa na wanahiphop.
Unajua hip hop?that is hiphop song!! nyie mnataka waimbe kama Yule jamaa wa hip hop bila madwa.. that is hip hop ana rap song.. enjoy drs musiki
Lakini haujulikani wala kusikika kama MUZIKIKuna wimbo wa weusi na bela na uko poA sana. ..
Tena sanaWanasema Darasa kamfunika Diamond.
Darassa ndio mwenye wimbo mmoja?!Anko JK alikuwa na kamsemo kake "upepo tu huu utapita"
Kinyimbo kimoja tu basi watu wanamaliza maneno!!
Twendeni MTV, Trace, Channel O, SoundCity ndio tutaelewa nani ni nani??
Hako kanyimbo kenu hata kenya na uganda haitrend [emoji23] [emoji23] [emoji23]
# WCB # WinnersCycle
"Kumuelewesha chizi utajipa kazi"Anko JK alikuwa na kamsemo kake "upepo tu huu utapita"
Kinyimbo kimoja tu basi watu wanamaliza maneno!!
Twendeni MTV, Trace, Channel O, SoundCity ndio tutaelewa nani ni nani??
Hako kanyimbo kenu hata kenya na uganda haitrend [emoji23] [emoji23] [emoji23]
# WCB # WinnersCycle
Ana nyimbo nyingi ila tukiongelea "Nyimbo Kubwa" yes ana wimbo mmoja tu, huu..Darassa ndio mwenye wimbo mmoja?!