Mwana FA asema wimbo "Muziki" wa Darassa umerudisha heshima Kwa wasanii wa hip hop

Mwana FA asema wimbo "Muziki" wa Darassa umerudisha heshima Kwa wasanii wa hip hop

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maneno yaleyale ya tokea mwaka juz i.e MTV,Trace,Channel O

Hatutaki blahblah...muziki ndio habari [emoji6]

Pole babe,najua muziki wa Darassa unakuumiza sana lakini hakuna jinsi,ndio wakati wake sasa.
Hehehehe naona team kibakuli wote wamehamia kwa darasa sasa, mmeona kibakuli kawaangusha nini?
 
unatoka mbio na hauna break...
[emoji441][emoji441][emoji441]
what do you expect
 
Ni wimbo usio wa Hip-hop uliofanywa na Mwanahip-hop na ukapendwa na wanahiphop.
that is hiphop song!! nyie mnataka waimbe kama Yule jamaa wa hip hop bila madwa.. that is hip hop ana rap song.. enjoy drs musiki
 
Anko JK alikuwa na kamsemo kake "upepo tu huu utapita"

Kinyimbo kimoja tu basi watu wanamaliza maneno!!

Twendeni MTV, Trace, Channel O, SoundCity ndio tutaelewa nani ni nani??

Hako kanyimbo kenu hata kenya na uganda haitrend [emoji23] [emoji23] [emoji23]

# WCB # WinnersCycle
Darassa ndio mwenye wimbo mmoja?!
 
Mwana fa bana eti mwanaume suruali.....
 
Anko JK alikuwa na kamsemo kake "upepo tu huu utapita"

Kinyimbo kimoja tu basi watu wanamaliza maneno!!

Twendeni MTV, Trace, Channel O, SoundCity ndio tutaelewa nani ni nani??

Hako kanyimbo kenu hata kenya na uganda haitrend [emoji23] [emoji23] [emoji23]

# WCB # WinnersCycle
"Kumuelewesha chizi utajipa kazi"
 
Back
Top Bottom