Mwana FA asema wimbo "Muziki" wa Darassa umerudisha heshima Kwa wasanii wa hip hop

tatizo wasanii wengi wa kibongo wa nataka kukimbia alafu hawana breeeekiii.. sasa wanategemea nini ?? ..
unakuta ..msanii anatumia mapesa mengi ...kutoka Bongo...Au..Congo..au mpaka Kwa Thabombeki..kutengeneza muziki ..kumbe wanacheza Lokasa ya mbongo...tena ngoja niache Maneno ngoja niweke Muziki ...brabraaa zenu hizo me sitaki kusikia..
 
Nakwazika sana huo uchafu kuwekwa kwenye utamaduni wa Hip Hop... Darasa anaimbaimba tu hafanyi Hip Hop.
Kama unamkataa Darassa wakatae pia wakina Fetty Wap,Future,Designer na Lil Wayne kuwa hawafanyi hip hop otherwise wewe ni HATER TU.
 
Ana nyimbo nyingi ila tukiongelea "Nyimbo Kubwa" yes ana wimbo mmoja tu, huu..
Nyimbo kubwa unaimba kwa kigezo gani?!

Sikati Tamaa
Kama unanipenda
Too Much

kwako hizi hazikuwa nyimbo kubwa?!
Nipe vigezo vyako vya nyimbo kuwa kubwa tafadhali
 
Kama unamkataa Darassa wakatae pia wakina Fetty Wap,Future,Designer na Lil Wayne kuwa hawafanyi hip hop otherwise wewe ni HATER TU.
Lill wyne .future sijui nani hawatosh kukuaminisha darasa anafanya hip hop...kuwa na ari ya kujifunza....hip hop ina element zake na ni kitu kinachojitegemea kama culture....na inaweza editiwa na mtu yeyote kutoka taifa lolote...kubali uwezi ukasema eti kuna hip hop singeli wakati hiko kitu hakipo kwenye element zake....ili uwe mwana hop hop au inafanya hip hp RAZIMA ufuate nguzo zake
 
Nilikuwa na wageni jana si watanzanzinia, niliwapigia Muziki wa Darassa, walifurahiaa waliniuliza back ground ya jamaa, sikuweza kujibu mengi Zaidi ya kusema ni kijana mTanzania, sikuwa na mfahamu Darassa kabla ya mwimbo huu.
 
Mwenzako anasifia wimbo wa darasa umeleta heshima ya hip hop ambayo HAIKUWEPO, halafu wewe unasema keshafanya mengi,mengi hayo yepi,si angejisifia yeye mwenyewe kama alishayafanya ........??
Inaonyesha wewe ni msukvma,si mswahili.Maana wavngwana hawana vtamaduni wa kujisifia. Mwana fa amefanya mengi mazuri ktk hip hop.
 
Mwenzako anasifia wimbo wa darasa umeleta heshima ya hip hop ambayo HAIKUWEPO, halafu wewe unasema keshafanya mengi,mengi hayo yepi,si angejisifia yeye mwenyewe kama alishayafanya ........??
Mganga hajigangi
 
Ungenijibu kwanza ili twende sawa...

Hao niliokutajia hapo juu wanafanya hip hop au hawafanyi hip hop!!

kama wanafanya hip hop tofauti yao na Darassa ni ipi?!

na kama hawafanyi hip hop utuambie wanafanya aina gani ya muziki.!!!
 
Nilikuwa na wageni jana si watanzanzinia, niliwapigia Muziki wa Darassa, walifurahiaa waliniuliza back ground ya jamaa, sikuweza kujibu mengi Zaidi ya kusema ni kijana mTanzania, sikuwa na mfahamu Darassa kabla ya mwimbo huu.
Ngoja nikausikilize sasa hivi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…