kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,257
- 12,244
"Na ukini beep nakupigia"Wanao ota mapembe waongezee mkiaa[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Na ukini beep nakupigia"Wanao ota mapembe waongezee mkiaa[emoji28]
Heeee!!!!!!!255 champion boy niite mbwana samatta
Wacha maneno yako weka .....muzikiKuna wimbo wa weusi na bela na uko poA sana. ..
Kama unamkataa Darassa wakatae pia wakina Fetty Wap,Future,Designer na Lil Wayne kuwa hawafanyi hip hop otherwise wewe ni HATER TU.Nakwazika sana huo uchafu kuwekwa kwenye utamaduni wa Hip Hop... Darasa anaimbaimba tu hafanyi Hip Hop.
Kumbe MwanaFA sio mwana Hip Hop?!Hakuna mwana hip hop anapenda huo wimbo
Nyimbo kubwa unaimba kwa kigezo gani?!Ana nyimbo nyingi ila tukiongelea "Nyimbo Kubwa" yes ana wimbo mmoja tu, huu..
Ni kweli kabisaWanasema Darasa kamfunika Diamond.
Lill wyne .future sijui nani hawatosh kukuaminisha darasa anafanya hip hop...kuwa na ari ya kujifunza....hip hop ina element zake na ni kitu kinachojitegemea kama culture....na inaweza editiwa na mtu yeyote kutoka taifa lolote...kubali uwezi ukasema eti kuna hip hop singeli wakati hiko kitu hakipo kwenye element zake....ili uwe mwana hop hop au inafanya hip hp RAZIMA ufuate nguzo zakeKama unamkataa Darassa wakatae pia wakina Fetty Wap,Future,Designer na Lil Wayne kuwa hawafanyi hip hop otherwise wewe ni HATER TU.
RaperKumbe MwanaFA sio mwana Hip Hop?!
Labda utuambie kwako mwanahip hop ni mtu wa namna gani?!
Inaonyesha wewe ni msukvma,si mswahili.Maana wavngwana hawana vtamaduni wa kujisifia. Mwana fa amefanya mengi mazuri ktk hip hop.Mwenzako anasifia wimbo wa darasa umeleta heshima ya hip hop ambayo HAIKUWEPO, halafu wewe unasema keshafanya mengi,mengi hayo yepi,si angejisifia yeye mwenyewe kama alishayafanya ........??
Jibu swali,acha mipasho.Inaonyesha wewe ni msukvma,si mswahili.Maana wavngwana hawana vtamaduni wa kujisifia. Mwana fa amefanya mengi mazuri ktk hip hop.
Very interestingUmenikumbusha yule dereva wa Singida. Alivoambiwa acha maneno weka mziki akaachia usukaniiii
Mganga hajigangiMwenzako anasifia wimbo wa darasa umeleta heshima ya hip hop ambayo HAIKUWEPO, halafu wewe unasema keshafanya mengi,mengi hayo yepi,si angejisifia yeye mwenyewe kama alishayafanya ........??
Ungenijibu kwanza ili twende sawa...Lill wyne .future sijui nani hawatosh kukuaminisha darasa anafanya hip hop...kuwa na ari ya kujifunza....hip hop ina element zake na ni kitu kinachojitegemea kama culture....na inaweza editiwa na mtu yeyote kutoka taifa lolote...kubali uwezi ukasema eti kuna hip hop singeli wakati hiko kitu hakipo kwenye element zake....ili uwe mwana hop hop au inafanya hip hp RAZIMA ufuate nguzo zake
Yule dogo alipagawa kabisa...sijui ilikuwa bangeee au kitu gani!!!!Umenikumbusha yule dereva wa Singida. Alivoambiwa acha maneno weka mziki akaachia usukaniiii
Ngoja nikausikilize sasa hivi!!!Nilikuwa na wageni jana si watanzanzinia, niliwapigia Muziki wa Darassa, walifurahiaa waliniuliza back ground ya jamaa, sikuweza kujibu mengi Zaidi ya kusema ni kijana mTanzania, sikuwa na mfahamu Darassa kabla ya mwimbo huu.