Mr.Wenger
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 2,569
- 6,165
Huyo dogo hamjui FA kabisa yaani anataka kumfananisha Darasa mwenye hit songs tatu na Mwanafa? Kwa sababu hakuwepo miaka ile si vibaya kumshauri akasikilize hizi tracks halafu aje kusafisha utumbo wake;We mtoto wakubwa wakiongea uwe unatuliza vikalio vyako vyeusi kwanza...we FA unamjua kweli??..yaani FA wa ingekua vipi , amekufa kwa ngoma, mabinti et etc...we dogo kweli umekosa adabu
1.Mabinti
2.Alikufa kwa ngoma ft.Jide
3.Hawajui ft. Jide
4.Msiache kuongea ft. Jide
5.Ingekuwa vipi ft. Jay MO
6.Unanitega ft. Noorah
7.Yalaiti ft. Lina
8.Habari ndio hiyo with AY
9.Asubuhi with AY ft. Q.Chillah
10.Mfalme ft. G.Nako
11.Tuliza boli
12.Bado nipo nipo
13.Jukumu letu with Prof.Jay
14.Wanapendana ft. Dully Sykes
15. Bila kukunja goti with AY ft. J.Martins
16. Kiboko yangu ft. Alikiba
Na nyinginezo
Hizo ngoma zote zilifanya vizuri, Darasa bado sana kumfananisha na Mwanafa