bussiness class ni zaidi ya mara 2 ya economy kwenda tu hongkong kwa bussiness tena sio mbali kama US inafika zaidi ya dolla elf4000 so ni zaidi 6a milioni saba na economy ni dolla elf na mia 300 tu mda mwingine chini ya hapoMnajua mnabeza kwa kuwa hamuelewi kupanda ndege economy class na kuwa kwenye business class.
Nauli ya business class ni sawa na nauli ya economy mara 2.5, sasa wewe upo tayari kujilipia nauli yako na mwenzako na nusu halafu unasafiri peke yako?
Kama unaweza ku afford business Au first class Shida iko wapi? Zamani ndio ilikua chakushangaza sikuizi kawaida tuu Mkuu..
Mnajua mnabeza kwa kuwa hamuelewi kupanda ndege economy class na kuwa kwenye business class.
Nauli ya business class ni sawa na nauli ya economy mara 2.5, sasa wewe upo tayari kujilipia nauli yako na mwenzako na nusu halafu unasafiri peke yako?
Ndege yake au?
Maana kama kupanda ndege tu ni habari mpaka leo Tanzania, kazi tunayo.
Huyo mwenzake hapo nyuma yupo busy kusoma kitabu yeye ni picha
Kuna majukwaa mengine hapa JF inabidi uvumilie tu mkuu...
Huku ndio kwa maselebriti wetu hivyo hata akikohoa tu ataandikwa...
Kwani cha ajabu ni kipi?
Inaonekana ni jambo la adimu. Hivi kwanini wabongo tunapenda kupiga picha tukipanda ndege? Hii ilinitokea majuzi. Tunapanda ngazi za Fastjet, jamaa mbele yangu anapipa simu yake eti nimpige picha anapanda ngazi za ndege. SMH!