SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,789
- 3,413
bussiness class ni zaidi ya mara 2 ya economy kwenda tu hongkong kwa bussiness tena sio mbali kama US inafika zaidi ya dolla elf4000 so ni zaidi 6a milioni saba na economy ni dolla elf na mia 300 tu mda mwingine chini ya hapoMnajua mnabeza kwa kuwa hamuelewi kupanda ndege economy class na kuwa kwenye business class.
Nauli ya business class ni sawa na nauli ya economy mara 2.5, sasa wewe upo tayari kujilipia nauli yako na mwenzako na nusu halafu unasafiri peke yako?