Mwana FA auangana na mastaa wa USA kwenye game la All Stars - NBA

Mwana FA auangana na mastaa wa USA kwenye game la All Stars - NBA

Mawivu tu yametujaa, ma stress yasiyo na maana. Na hli la mb 8 ndo limezidisha njaa
Afu wengi wao hapo hata hiyo Business Class yenyewe hawajaigusa na wakiigusa basi fahamu ni safari ya kikazi wanayolipiwa na ofisi!! Jamaa kalipa kwa hela yake aliyoitolea jasho mwenyewe, mara oh, show-off aaaaaaaargh! Wengine humu utasikia, "oh cku moja ilikuwa KLM ile tunafika nanii tu...." aaaaaargh! Sasa kuna tofauti gani na mtu anayepiga picha na ku-post instagram ikiwa wewe hakuna aliyekuuliza unatuambia habari za KLM cjui nini na nini... likely m2 kama huyo na yeye angekuwa star basi lazima angepiga picha tu na kutopostia hapa kuelezea safari yake ndani ya KLM!
 
Habari wana JF,

Kweli mziki unalipa sana,Msanii wa kizazi kipya, Hamis Mwinjuma (Mwana Fa) aonyesha jeuri ya fedha. Mwana Fa asafiri kwenda Massachusetts kwa kutumia ndege wanaotumia matajiri wakubwa, ona picha ya chini, nadhani Mwana-FA anamjibu Mtanzania genius aliyepanda bizness class.

View attachment 226842

Waafrika particularly watanzania tunakuwa tunaona ajabu kwa vitu kama hivi. Yaani 2015 mtu anajiona fahari kupanda Business Class na HANDKERCHIEF lake mkononi (I guess katoka na handkerchief Bongo) halafu analeta picha kwenye public domain ikiambatana eti kapanda Business class. Tanzanians have a long way to get there.
 
hongera yake ila mleta uzi umetia mbwembwe nyingi mpaka unamtukanisha humu!!!
 
Habari wana JF,

Kweli mziki unalipa sana,Msanii wa kizazi kipya, Hamis Mwinjuma (Mwana Fa) aonyesha jeuri ya fedha. Mwana Fa asafiri kwenda Massachusetts kwa kutumia ndege wanaotumia matajiri wakubwa, ona picha ya chini, nadhani Mwana-FA anamjibu Mtanzania genius aliyepanda bizness class.

View attachment 226842

Kabla hujamsifia, ungeumiza kichwa kidooogo.
Ni nani kamlipia nauli?
Kwa malipo gani?
Ili iweje?
Malipo ni nini?
Af ndo ungekuja hapa.
Ila kama ni yeye mwenyewe tuu na ww ueshuhudia basi pwa pwa pwa!!!
 
Mwana Fa akiwa Manhattan na Flavian Matata wakifanya shopping:::Ninjas Rockin' J's.
Rockin Js.jpg

mwana FA Manhattan.jpg


Mwana FA Shopping.jpg

Mwana FA Chilling.jpg

Qn: What does rocking j's mean?

Ans: Rocking J's- Wearing Jordan brand shoes with style and showing them off.
 
Back
Top Bottom