Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hivi kuishi Ulaya/USA/Nje ya Tanzania bado ni sifa? Au sijaelewa hapo red lilikuwa na ulazima sana? U-celeb mbona hata USA/UK/Nje ya Bongo Upo tu? Mbona Hasheem Celeb USA kuliko hata bongo na ni M-TZ? Hapo Kwenye Red Bado ni Sifa kuishi mambele? Tuisiwe tunamlahumu Mwana FA kwa kupiga picha kwenye ndege wakati sie wenyewe bado tuna ushamba wa design mwingine!! Why do you look at the speck of sawdust in your brother's eye and pay no attention to the plank in your own eye?
Jamaa kaongelea u celebrity wa kibongo, mimi nimesema nimeondoka bongo kuukimbia u celebrity mbuzi.
Wapi nimesema kuondoka bongo ni sifa?
Au ni inferiority complex yako tu?
Comprehension please.