Mwana FA auangana na mastaa wa USA kwenye game la All Stars - NBA

Mwana FA auangana na mastaa wa USA kwenye game la All Stars - NBA

Hivi kuishi Ulaya/USA/Nje ya Tanzania bado ni sifa? Au sijaelewa hapo red lilikuwa na ulazima sana? U-celeb mbona hata USA/UK/Nje ya Bongo Upo tu? Mbona Hasheem Celeb USA kuliko hata bongo na ni M-TZ? Hapo Kwenye Red Bado ni Sifa kuishi mambele? Tuisiwe tunamlahumu Mwana FA kwa kupiga picha kwenye ndege wakati sie wenyewe bado tuna ushamba wa design mwingine!! Why do you look at the speck of sawdust in your brother's eye and pay no attention to the plank in your own eye?

Jamaa kaongelea u celebrity wa kibongo, mimi nimesema nimeondoka bongo kuukimbia u celebrity mbuzi.

Wapi nimesema kuondoka bongo ni sifa?

Au ni inferiority complex yako tu?

Comprehension please.
 
Naona watamlamba mpaka mavi....

Hatuna kitu tunaweza kiweka mbele na kusema ni pride kwetu....

Burundi wamezindua ndege ya kufanya Masafa mpaka ulaya yakwao sisi tunajivunia mpuuzi kupanda business class....

Hata hivyo sidhani maswali unayowauliza watu wengi Wa jukwaa hili wanaweza kuwa na ability ya kujibu...

Wengi ni mkono kinywani na washindia miguu ya kuku so hata akili zao uwezo Wa kuelewa ama kujadili complex issues ni duni Sana....

Mfano kitu Kama Sera ya elimu ingekuwa hapo USA ingeshika mijadala mikali kila kona na Ku make headlines kwa media nyingi pamoja na forums mbalimbali...

Kungesikika mwitikio mkubwa na pengine kuvuta hisia za watu kujadili maana inagusa moja kwa moja maisha yao but sio bongo!!! Sera imezinduliwa but nothing is going on... Watu hawana mda kujadili wengi wanajisumbua kujadili vitu vya kipuuzi visivyo na impact yoyote kwa maisha yao....
slow down son, usilie sasa..heheheheheheheeee:lol:
 
Ndege yake au?

Maana kama kupanda ndege tu ni habari mpaka leo Tanzania, kazi tunayo.

teh teh teh bora huyo kuna wengine zile daladala za mwanza na Kia ni mwendo wa SELFIE kuanzia anakaguliwa hadi ndani ya pipa
 
Jamaa kaongelea u celebrity wa kibongo, mimi nimesema nimeondoka bongo kuukimbia u celebrity mbuzi.

Wapi nimesema kuondoka bongo ni sifa?

Au ni inferiority complex yako tu?

Comprehension please.

Tunatofautiana katika kuangalia mambo,ni kama wewe ulivyoshangaa kupanda ndege kibongo ni sifa ingawa hakuna hata mtu mmoja aliyetamka kwamba kupanda ndege ni sifa ila uliuliza kwamba tuna "long way to go kama still bongo kupanda ngege ni sifa,ilikuwa sifa miaka hiyo ya nyerere" inawezekana haujatamka "Kuondoka bongo ni sifa" lakini uki-read btn the lines ni kama wewe unaona ni sifa kuishi nje ya bongo. Nakiri kwamba sijawahi kukanyaga bara/nchi lolote/yeyote nje ya africa/tz na sijutii kwa hilo maaana Le Mutuz ametutoa matongotongo kuhusu maisha ya mbele na ndio maana nikashangaa "Bado kuna watu wanafikiri kuishi USA/UK/Nje ya Bongo bado ni sifa?" Ni mtazamo tu.
 
You are reading what is not there.

Unakuwa kama mtu mweusi anayejishtukia weusi wake, chochote negative kitakachomtokea anafikiri kimemtokea kwa sababu anabaguliwa kwa weusi wake.

Wewe inaonekana una inferiority complex fulani kuhusu kutoka nje ya Tanzania.

Kiasi mtu akiongelea kutoka nje ya Tanzania in context ya kuukimbia u celebrity mbuzi wa bongo, wewe unaona anajigamba kutoka Tanzania.

Nakushauri utoke kidogo uende hata India tu hapo, utaondoa hii inferiority complex.
 
Nimekupata mkuu,mwanzoni ndio nilikuwa napenda sana kwenda nje ila baada ya kupata feedback ya maisha ya huko kupitia deportees na baadhi ya members wa humu kama kina Le Mutuz,mawazo hayo yameondoka,na-make hela inayonitosheleza tz so there is no need kwenda sehemu yeyote labda kwenda kutalii tu.
 
Nimekupata mkuu,mwanzoni ndio nilikuwa napenda sana kwenda nje ila baada ya kupata feedback ya maisha ya huko kupitia deportee
s na baadhi ya members wa humu kama kina Le Mutuz,mawazo hayo yameondoka,na-make hela inayonitosheleza tz so there is no need kwenda sehemu yeyote labda kwenda kutalii tu.

Nenda ukapate exposure uondokane na akili mgando za kumjadili MTU anaepanda business class....
 
Aaaggghhhh sina comment ila dogo f.a najua anaishi maisha ya kawaida na gari ya kawaida mark x na tumepanga nae mtaani hapa kinondoni mtaa wa mafere…hiyo jeuri ya fedha bado sijaiona…!
 
Aaaggghhhh sina comment ila dogo f.a najua anaishi maisha ya kawaida na gari ya kawaida mark x na tumepanga nae mtaani hapa kinondoni mtaa wa mafere…hiyo jeuri ya fedha bado sijaiona…!

Una miaka mingapi?
 
comment nyingi za humu ndani zinaonyesha uhalisia wa watanzania, karibu kila comment inalenga kuponda mafanikio ya huyu msanii, yaani wabongo wengi wana wivi wa mafanikio ambayo hawawezi kuyapata, kibaya zaidi haya mafanikio ndio yanakuwa chanzo cha chuki, guys wake up this guy is already a role model to others, mafanikio hayaji kirahisi kinamna hivyo, big up f.a more success, more friends and more haters

ni kweli mkuu, lakini mwana fa muziki wake hapa nyumbani ni wa kusuasua sana kwa vigezo vyovyote huwezi kumuweka kwa waliofanikiwa kimuziki. Labda awe muuza tanzanite
 
Nenda ukapate exposure uondokane na akili mgando za kumjadili MTU anaepanda business class....

Sijakwambia kama sijawahi kupanda ndege mkuu,exposure haina haja kwangu maana biashara nayofanya pia na-interact na watu wa mataifa ya nje,njoo k/koo au magomeni mkuu,ninadeal na wachina,wahindi,waarabu etc
 
ni kweli mkuu, lakini mwana fa muziki wake hapa nyumbani ni wa kusuasua sana kwa vigezo vyovyote huwezi kumuweka kwa waliofanikiwa kimuziki. Labda awe muuza tanzanite

Hivi mafanikio kwenye muziki wa bongo,mnayapimaje?

Kwa show off za mtandaoni au?

Hivi katika wasanii watatu wa hip hop ambao hawasuisui FA hayupo?
 
Inaonekana ni jambo la adimu. Hivi kwanini wabongo tunapenda kupiga picha tukipanda ndege? Hii ilinitokea majuzi. Tunapanda ngazi za Fastjet, jamaa mbele yangu anapipa simu yake eti nimpige picha anapanda ngazi za ndege. SMH!

Hahahaa smh
 
comment nyingi za humu ndani zinaonyesha uhalisia wa watanzania, karibu kila comment inalenga kuponda mafanikio ya huyu msanii, yaani wabongo wengi wana wivi wa mafanikio ambayo hawawezi kuyapata, kibaya zaidi haya mafanikio ndio yanakuwa chanzo cha chuki, guys wake up this guy is already a role model to others, mafanikio hayaji kirahisi kinamna hivyo, big up f.a more success, more friends and more haters

Kupanda ndege inawezekana kuwa mafanikio kwako.

Lakini hilo halimaanishi ni mafanikio kwa wote.

Unapoandika mambo lazima utofautishe hilo.

Kwa wengine mafanikio ni kurusha ndege au kumiliki kampuni ya ndege. Sasa kwa hao ukisema kupanda ndege ni mafanikio bila kuelezea zaidi utakuwa unachekesha.
 
Rapa Mwana FA aungana na kina Floyd Mayweather, Jay Z na Beyonce kuhudhuria mchezo wa NBA All Stars Marekani.

Bado unabisha kwamba mziki wa bongo hauilipi? Habari ndio hiyo, Mwana FA ka-hang na mastars wa dunia siku chache baada ya kusafiri ki-don katika Business class!

Mchezo wa kwanza wa Nba All-star ulichezwa march 2 1951 na ilikuwa mjini Bonton huko Marekani!

msana-fa-3.jpg

mwana-fa-4.jpg

Rapa Mwana FA na mshikaji wake, Counsellor Salaah wamehudhuria mchezo mkubwa katika michezo ya kikapu Marekani #NBAALLSTAR. Hii ni game inayoleta pamoja wakali kutoka Easter Conference na Western Conference,
ambapo nyota kibao nao walihudhuria akiwamo Jay Z na mkewe Beyonce.

mwana-fa-12.jpg

25B9444B00000578-2955210-image-a-8_1424071681341.jpg
25B8CEAD00000578-2955210-image-a-1_1424071505712.jpg
25B8C9D000000578-2955210-image-a-2_1424071563806.jpg

25B8A08300000578-2955210-image-a-11_1424071831333.jpg
game.jpg

Back
Top Bottom