Mwana FA auangana na mastaa wa USA kwenye game la All Stars - NBA

This is too much sasa jamani ifike mahali USTAA wa mtu uonekane kwenye kazi zake miradi yake na bei gani kibindoni na sio hizi show off ambazo unapata sifa nyingi lakini kiuhalisia uko hoi
 
hahaaaa siyo tanzania.....
 
Mwana Fa watching NBA All Star Game 2015.
Mwana FA NBA.jpg
 
Madison Square Garden...NBA All Star Game 2015..
Mwana FA Madson Square.jpg

This is too much sasa jamani ifike mahali USTAA wa mtu uonekane kwenye kazi zake miradi yake na bei gani kibindoni na sio hizi show off ambazo unapata sifa nyingi lakini kiuhalisia uko hoi

Acha wivu wa kike wewe. Single-minded pursuit and/or accumulation of materialistic things is not the same thing as success in music or the arts. Mtu anaweza kuwa na mali lakini bado asiwe star. Kigezo cha kufanikiwa katika maisha siyo wingi wa mali bali ni furaha na kuridhika aliyo nayo mtu na maisha yake kwa ujumla.
 
Nasikia ameenda kushoot video ya wimbo wake mpya na Beyonce
 
Mi ninatabia ya kurekodi ushuzi wangu kuweka kumbukumbu ya mijambo yangu!na kungekuwa na teknolojia ya kurekodi harufu ingekuwa bomba maana kuuhifadhi kwenye chupa zoezi lake gumu!

Ganda la kiberiti linafaa zaidi kuhifadhia
 
Acha wivu wa kike wewe. Single-minded pursuit and/or accumulation of materialistic things is not the same thing as success in music or the arts. Mtu anaweza kuwa na mali lakini bado asiwe star. Kigezo cha kufanikiwa katika maisha siyo wingi wa mali bali ni furaha na kuridhika aliyo nayo mtu na maisha yake kwa ujumla.

Maneno ya kawaida Sana hayo ndugu yangu hupaswi hata kupaniki na kutoa povu lote hilo kumbuka hii ni social media
 
Hata yangekuwa maneno ya Mungu, hoja ni kwamba mali siyo kigezo cha kuwa star, labda huko kwenu uchagani. Sikumbuki kumfahamu hata mwanamuziki mmoja wa kichaga.
 
Uchagani hakuna washana lakini halafu wala huhitaji kutoa povu lote hili kwakuwa kila mtu ana mtazamo wake kwenye lolote
 
Show-off na msanii ni chanda na pete na hili lipo kila mahali duniani! Mara kwa mara napata shida ninapoona watu wanawa-dis wasanii wetu kwamba wanapenda show off... cjui ni wasanii wa nchi ama bara gani wasiopenda kujionesha!! Wasanii na wanasiasa ni watoto wa mjomba na shangazi!
 
Tatizo ushamba mwingi nimeanza jana kuchangia "social media".

By the way, hizo aviators ndiyo zile wanazotembeza Coco Beach?
 
hah hah wakati FA akiwa Duniani upande wa pili kule Lady JD anamuanika na kubwabwaja ya sirini ya Gadner....kwi kwi kwi
 
Show-off na msanii ni chanda na pete na hili lipo kila mahali duniani! Mara kwa mara napata shida ninapoona watu wanawa-dis wasanii wetu kwamba wanapenda show off... cjui ni wasanii wa nchi ama bara gani wasiopenda kujionesha!! Wasanii na wanasiasa ni watoto wa mjomba na shangazi!

Mawivu tu yametujaa, ma stress yasiyo na maana. Na hli la mb 8 ndo limezidisha njaa
 
Back
Top Bottom