mgweno tajiri
Senior Member
- Mar 8, 2014
- 167
- 29
Kama alijiwekea akiba yake kwa muda wa miaka kumi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is too much sasa jamani ifike mahali USTAA wa mtu uonekane kwenye kazi zake miradi yake na bei gani kibindoni na sio hizi show off ambazo unapata sifa nyingi lakini kiuhalisia uko hoi
Mwana Fa watching NBA All Star Game 2015.
View attachment 227217[/QU
OTE]
kaungana na mastaa wenzake wapi hao?huyu aliyepiga naye picha ni nani?amekaa benchi moja na akina chris brown?najiuliza maswali!!!
This is too much sasa jamani ifike mahali USTAA wa mtu uonekane kwenye kazi zake miradi yake na bei gani kibindoni na sio hizi show off ambazo unapata sifa nyingi lakini kiuhalisia uko hoi
Mi ninatabia ya kurekodi ushuzi wangu kuweka kumbukumbu ya mijambo yangu!na kungekuwa na teknolojia ya kurekodi harufu ingekuwa bomba maana kuuhifadhi kwenye chupa zoezi lake gumu!
Acha wivu wa kike wewe. Single-minded pursuit and/or accumulation of materialistic things is not the same thing as success in music or the arts. Mtu anaweza kuwa na mali lakini bado asiwe star. Kigezo cha kufanikiwa katika maisha siyo wingi wa mali bali ni furaha na kuridhika aliyo nayo mtu na maisha yake kwa ujumla.
Maneno ya kawaida Sana hayo ndugu yangu hupaswi hata kupaniki na kutoa povu lote hilo kumbuka hii ni social media
Hata yangekuwa maneno ya Mungu, hoja ni kwamba mali siyo kigezo cha kuwa star, labda huko kwenu uchagani. Sikumbuki kumfahamu hata mwanamuziki mmoja wa kichaga.
Uchagani hakuna washana lakini halafu wala huhitaji kutoa povu lote hili kwakuwa kila mtu ana mtazamo wake kwenye lolote
Show-off na msanii ni chanda na pete na hili lipo kila mahali duniani! Mara kwa mara napata shida ninapoona watu wanawa-dis wasanii wetu kwamba wanapenda show off... cjui ni wasanii wa nchi ama bara gani wasiopenda kujionesha!! Wasanii na wanasiasa ni watoto wa mjomba na shangazi!