Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Kama ni kweli basi Fa Kazingua kinoma noma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naona basata ifungiwe tu maana hawa jamaa hawana msaada wowote kwenye sanaa
Huu nao ufungiwe Mara moja. Mtunzi atozwe mil.11.3 ataimbaje muhogo na kuramba mwiko?Nimekaa hapa nasikiliza wimbo flani, sikumbuki umeimbwa na nani....sehemu ya Mashairi yake yanasema...
"Muhogo wa jang'ombee, sijauramba Mwiko, usitukane Wakungaaa, na Uzazi ungalipoo"
Mkuu mbona simple nenda kwa Mama yako alafu Anza kuimba nyege nyege nyege nyegezi, akikuunga mkono na yeye akianza kucheza na kuitikia Basi ujue huo wimbo hauna tatizo ni wivu tu wa basataHivi ni kipi kwa mfano kinachokufanya uamini ule wimbo haufai?! Unaweza kunitajia mistari michafu kwenye ule wimbo?!
Mosi, kwanini hadi nikaimbe mbele ya mama yangu ndipo ipate kufahamika ubaya wa wimbo wenyewe?!Mkuu mbona simple nenda kwa Mama yako alafu Anza kuimba nyege nyege nyege nyegezi, akikuunga mkono na yeye akianza kucheza na kuitikia Basi ujue huo wimbo hauna tatizo ni wivu tu wa basata
Maelezo mengi ya Nini? Kama unatafuta vina na mizani nenda kwa Mama yako imba nyege nyege nyege nyegezi na yeye akiwa anaitikia nyege nyege nyege nyegezi Apo itakuwa basata wanna matatizo sip wimbo.Mosi, kwanini hadi nikaimbe mbele ya mama yangu ndipo ipate kufahamika ubaya wa wimbo wenyewe?!
Ashakum si matusi, endapo hayo maneno yangekuwa "msenge unatombwa wewe...!" Je, bado ungenitaka kwanza nikaimbe mbele ya mama yangu ili kufahamu ubaya wake?!
That's one, two... Kwanini nikaimbe "nyege nyege nyegezi" halafu beti zingine zoooooooooooote niziache?!
I bet, wewe sawa na wenzako wengine shida yenu ni neno nyege ambalo hata hivyo sio tusi! Nyege ni ashiki, msisimko au hamu ya kufanya mapenzi! Hivi kuwa na hamu ya kufanya mapenzi ni tusi?!
Hata hivyo, ninavyofahamu mimi, phrase "nyege nyege nyegezi" imetumika ili kukamilisha mizani jambo ambalo ni la kawaida sana kwenye ushairi! Kinyume chake, hivi unaweza kunitajia sababu moja tu ya msingi inayokufanya uamini maneno hayo hayakutumika kwa ajili ya kujazia mizani bali yalitumika kwa maana nyingine kabisa?! Na hiyo maana ni ipi?!
Hivi unaweza kutaja sababu za msingi za kwanini unang'ang'ania kuleta suala la mama yangu kwenye mada za JF?! Tangu awali nilikushangaa kwamba, how come mtu anaibuka from nowhere na kuleta habari za wazazi kwenye mada za JF! Nikadhani labda ulighafirika tu kwa sababu za kibinadamu lakini hatimae nimegundua huna namna nyingine yoyote ya kutetea hoja yako bila ya kumuhusisha mama yangu... trust me, this's too low and I hate arguing with people who personalize discussions!Maelezo mengi ya Nini? Kama unatafuta vina na mizani nenda kwa Mama yako imba nyege nyege nyege nyegezi na yeye akiwa anaitikia nyege nyege nyege nyegezi Apo itakuwa basata wanna matatizo sip wimbo.
Nakutakia zoezi jema na mama yako
Mkuu ule wimbo hata mwenyewe rayvany kashindwa kuimba mbele ya wazee basata hata hvyo siyo kiitikio tu hadi mashairi ni matusi matupuHivi ni kipi kwa mfano kinachokufanya uamini ule wimbo haufai?! Unaweza kunitajia mistari michafu kwenye ule wimbo?!
Hakuna hoja uluojenga hapo mkuu, Kila neno Lina mahala pake kwa kutumia na pia Kuna maneno yanatumika maeneo yoteHivi unaweza kutaja sababu za msingi za kwanini unang'ang'ania kuleta suala la mama yangu kwenye mada za JF?! Tangu awali nilikushangaa kwamba, how come mtu anaibuka from nowhere na kuleta habari za wazazi kwenye mada za JF! Nikadhani labda ulighafirika tu kwa sababu za kibinadamu lakini hatimae nimegundua huna namna nyingine yoyote ya kutetea hoja yako bila ya kumuhusisha mama yangu... trust me, this's too low and I hate arguing with people who personalize discussions!
Napenda ku-argue kwa hoja... jibu hoja, leta hoja na sio viroja!
Kama hauna namna yoyote ya kutetea hoja yako hadi umwingize mama yangu then am afraid umedandia mada ambayo huwezi kuitetea!! Isitoshe, in a good faith, mwanzoni nilikuuliza kwanini nikaimbe mbele ya mama yangu ili ku-prove ubaya wa wimbo husika.... umeshindwa kujibu!! Umeshindwa kwa sababu, again, huna hoja! Kama unaamini wimbo haufai kwanini unang'ang'ania nika-prove mbele ya mama yangu? Au ulisikia mama yangu anafanya kazi BASATA?
Ubeti gani kwa mfano?!Mkuu ule wimbo hata mwenyewe rayvany kashindwa kuimba mbele ya wazee basata hata hvyo siyo kiitikio tu hadi mashairi ni matusi matupu
Again, umeshindwa kujibu swali hata moja nililokuuliza! Eti shabiki maandazi! We unadhani naongea haya kwa sababu wimbo unamuhusu Damond?!Hakuna hoja uluojenga hapo mkuu, Kila neno Lina mahala pake kwa kutumia na pia Kuna maneno yanatumika maeneo yote
Neno nyege huwezi kulitumia katika mazingira yote hasa hapa nchini ,
Wimbo wa Mwanza huwezi sema eti ulilenga kwa ajili ya watu was 18+ Kama diamond alivyodai, kwa mazingira ya nchi yetu nyimbo zinapigwa sana kwenye public hasa bodaboda,daladala, vilibrary, soloon,na madukani watoto wengi wanazisikia nyimbo mbalimbali kupitia mazingira hayo kuliko hata nyumbani
Unakumbuka video ya zigo remix? Unajua kwanini walifungia video isichezwe mchana na hawakufungia audio?
Hata manager babutale na mkubwa fella wore walikili kwamba wamekosea
Ila wewe shabiki maandazi unaona wimbo hauna tatizo
roho ya koroshoKujipendekeza nacho kipaji mxiiieeew zake
Wewe jamaa ni chenga Sana jikite kwenye hoja hapa tunazungumzia wimbo wa Mwanza na neno nyege lilivyopelekea wimbo kufungiwa, Cha ajabu unashindwa kuonyesha kwamba hili neno sio tatizo kwenye jamii yetu unabaki kurukaruka na mada zingineAgain, umeshindwa kujibu swali hata moja nililokuuliza! Eti shabiki maandazi! We unadhani naongea haya kwa sababu wimbo unamuhusu Damond?!
Inaonekana unafahamu kwamba chige ni shabiki wa Diamond lakini hufahamu kabisa msimamo wangu kwa petty issues kama hizi! And FYI, ungese wa BASATA na Bodi ya Filamu sijaanza kuupinga leo!!! Ungese wa kumfungia Wema eti kisa imesambazwa video akipigwa denda ndani ya nchi ambayo inatoa frequencies kwa tv channels zinazoonesha mambo mazito zaidi kuliko hilo la mtu kupigwa denda... wtf!
Ungekuwa kwenye yale ma-group yetu, hususani ya filamu ungeona ni mara ngapi BASATA na Bodi ya Filamu nimekuwa nikiwapiga mashuti tena kwenye baadhi ya hayo makundi Bodi ya Filamu wenyewe wamo!
Bodi ya Filamu na BASARA hawafahamu sanaa na wapo pale kusubiri tu wafungie nyimbo na filamu na wasanii kama walivyomfungia Wema Sepetu kwa sababu za kipumbavu kabisa!
TIP: Mwaka wowote ukisikia Bodi ya Filamu wamefikishwa mahakamani, basi kuna uwezekano mkubwa hapo utakuwa umeshamfahamu Chige manake nawatamani sana siku wacheze na kazi yangu! Na watamani si kwa sababu nina visasi nao bali hawa jamaa huwa hawana hoja za msingi za kufungia kazi za watu!!!
Lakini kingine usichofahamu kuhusu mimi ni upinzani wangu dhidi ya unafiki wa Watanzania wa kujifanya ni watu wenye maadili wakati ni watu wa hovyo tu pengine kuliko akina sie ambao tupo too liberal, and YES, am too liberal with my fellas calling me a Notorious Classical Liberal!
Ikiwa nauponda hata unafiki wa kujifanya watu wanachukia mashoga na ushoga as if nchi hii tatizo kuu ni ushoga seuze kwa petty issues kama nyimbo ya Mwanza??!!
Watch me before and after this na hapo ndipo utafahamu this has nothing to do with Diamond! Hata hapa jamvini, nimehoji sana busara iliyotumiwa na BASATA kuifungia Bongo Bahati Mbaya!!
Halafu angalia hizo hoja zako! Eti kwa mazingira kama yetu ambako nyimbo zinapigwa public, huwezi kusema ngoma fulani ni 18+! Now tell me, zile ngoma za Kimarekani huwa hazipigwi public!
Kuhusu Zigo Remix... listen to yourself! Unaifungia vipi video isichezwe mchana wakati ipo YouTube?! Mbona unachekesha wewe!!!
Kwamba Tale na Mkubwa Fella walikiri kwamba wamekosea, kumbe ulitarajia nini?! Hivi kwa mfano ukiangalia utetezi wa Diamond unachoona pale ni kukiri kufanya kosa au kutafuta nusu shari kwavile BASATA ndio walioshika makali?!
Btw, hivi katika maisha yako umewahi kuandika japo ubeti mmoja wa mashairi?!
roho ya korosho
Look at yourself... ni nani kati yetu ni chenga!!! Hivi huwa unajisoma kabla huja-click SUBMIT REPLY au ukishaandika tu, ni mambo ya sukuma twende!!Wewe jamaa ni chenga Sana jikite kwenye hoja hapa tunazungumzia wimbo wa Mwanza na neno nyege lilivyopelekea wimbo kufungiwa, Cha ajabu unashindwa kuonyesha kwamba hili neno sio tatizo kwenye jamii yetu unabaki kurukaruka na mada zingine
Nyie ndo Wala unapelekwa mahakamani kwa kosa la kuiba unaambiwa let utetezi unasema mbona Fulani nae kaiba lakini hamjamshitaki.
BASATA kukosea kwenye Mambo mengine bado hakumpi uhalali Diamond na Rayvanny kutumia neno ambalo halikubaliki kwenye public na kuachiwa.
Basi hata Amber rutty asingeshtakiwa maana kariakoo Kuna CD kibao za wabongo za ngono zinauzwa
Kuhusu Mimi kutunga shaili what a nonsense question
Unamjua morinho na mafanikio yake Kama kocha na unamjua maradona na mafanikio yake Kama kocha?
That's one, two... Kwanini nikaimbe "nyege nyege nyegezi" halafu beti zingine zoooooooooooote niziache?!
I bet, wewe sawa na wenzako wengine shida yenu ni neno nyege ambalo hata hivyo sio tusi! Nyege ni ashiki, msisimko au hamu ya kufanya mapenzi! Hivi kuwa na hamu ya kufanya mapenzi ni tusi?!
but a moment later, wewe huyo huyo:Wewe jamaa ni chenga Sana jikite kwenye hoja hapa tunazungumzia wimbo wa Mwanza na neno nyege lilivyopelekea wimbo kufungiwa
And in no time:Basi hata Amber rutty asingeshtakiwa maana kariakoo Kuna CD kibao za wabongo za ngono zinauzwa
What the hell is this?! Sasa hayo yanahusiana na wimbo wa Mwanza?!Unamjua morinho na mafanikio yake Kama kocha na unamjua maradona na mafanikio yake Kama kocha?
Hahaha we jamaa ndo wale shuleni maelezo mengi alafu kumbe chengaLook at yourself... ni nani kati yetu ni chenga!!! Hivi huwa unajisoma kabla huja-click SUBMIT REPLY au ukishaandika tu, ni mambo ya sukuma twende!!
Nimeshindwa kuonesha kwamba hilo neno sio tatizo wakati hujajibu hata swali moja kuhusu hilo neno?! Yaani saa chache tu zilizopita nimekuambia:
Halafu unasahau hata hoja uliyoandika kabla huja-post? Yaani unadai: but a moment later, wewe huyo huyo: And in no time: What the hell is this?! Sasa hayo yanahusiana na wimbo wa Mwanza?!
Btw, wakati ulipoleta habari za wimbo wa Zigo Remix, suala la huo wimbo linahusiana vipi na wimbo wa Mwanza?
Again, badala ya kujibu swali, unakuja na lugha za kuudhi!!! Seems you're good at this na ndio maana wala hukuona taabu kuleta habari za wazazi kwenye mjadala wa JF! Anyway, I can take this embarrasment and consider it as a compliment... sasa jibu swali langu la kipumbavu: umeshawahi kuandika japo ubeti mmoja wa shairi maishani mwako?
Kituko kingine kinachoonesha unashindwa kuelewa!
Eti BASATA kukosea kwenye mambo mengine hakumpi uhalali wa Diamond na Rayvann so and so!! Hivi unaelewa wewe?! From psychological POV, bado mind yako ipo kule kule... unadhani this's about Diamond!!! Sorry, sina namna nyingine ya kukusaidia katika hili lakini unachotakiwa kufahamu, hoja sio kwamba BASATA wamekosea hapa na wakapatia pale bali hoja ni kwamba BASATA wana-deal na petty issues kwa sababu zile zile nilizotaja hapo awali kwamba Watanzania ni wanafiki!!!
Na ni kutokana na hilo ndio maana nikakutajia mifano ya unafiki wa Watanzania linapokuja suala la mashoga!
Na ni kutokana na hilo, ndio maana nikakupa mifano ya namna gani nimekuwa nikiwapinga BASATA na mdogo wake Bodi ya Filamu mara kibao tu kwa issues ambazo hata huyo Diamond hahusiki!!
Learn how to connect the dots!
Teh. Teh..teh..Nimekaa hapa nasikiliza wimbo flani, sikumbuki umeimbwa na nani....sehemu ya Mashairi yake yanasema...
"Muhogo wa jang'ombee, sijauramba Mwiko, usitukane Wakungaaa, na Uzazi ungalipoo"