Mosi, huwezi kunipangia jinsi ya kuandika kwa sababu sijakutuma huni-quote... did I?Hahaha we jamaa ndo wale shuleni maelezo mengi alafu kumbe chenga
Umeniuliza nimeshawahi kuandika hata ubeti mmoja wa shairi?
Nikakujibu kwa mafanikio ya Mourinho Kama kocha na maradona Kama kocha sasahapo umeshindwa hata kuconnect au kulink simple equestion Kama hiyo seriously?
Mkuu shule ulienda kujifunza au kutimiza utarabitu tu uliowekwa?
Then jifunze kuandika maelezo kidogo lakini yawe na points
Pili, nilikuuliza ikiwa umeshawahi kuandika japo ubeti mmoja wa shairi... the answer has to be YES or NO lakini ukaanza ku-beat around the bush... mara Mourinho, mara Madonna! Jibu swali wewe! Umeshawahi kuandika japo ubeti mmoja wa shairi? YES or NO?
Tatu, inawezakana ni kweli shule nilienda kutimiza wajibu but am very sure am smart kuliko wewe ulienda kujifunza! Prove me wrong kwa kujibu maswali niliyokuuliza badala ya kupuyanga puyanga tu!!!
Kwamba eti nijifunze kuandika maelezo madogo, sorry, sijazoea ku-argue na watu aina yako ambao less than 500 words wanaona maneno mengi... this tells more about you! Naandika maelezo mengi according to you but properly arranged! Angalia wewe sasa jinsi unavyoandika! Hujui hata ku-paragraph! Ni nani anayetakiwa kujifunza jambo kati yetu?
Aidha, kupitia hayo maelezo yako mafupi, nioneshe hizo points zilizojibu maswali yangu!!
Mbaya zaidi, wala hufahamu kwamba posts zangu zinakuwa ndefu kwa sababu najibu kila utumbo unaouandika wakati wewe hujajibu hata swali moja nililokuuliza!!
Lastly, jibu maswali niliyokuuliza, or else, piga kimya!!!