Mwana FA autetea wimbo Mwanza wa Rayvanny na Diamond Platnumz

Mosi, huwezi kunipangia jinsi ya kuandika kwa sababu sijakutuma huni-quote... did I?

Pili, nilikuuliza ikiwa umeshawahi kuandika japo ubeti mmoja wa shairi... the answer has to be YES or NO lakini ukaanza ku-beat around the bush... mara Mourinho, mara Madonna! Jibu swali wewe! Umeshawahi kuandika japo ubeti mmoja wa shairi? YES or NO?

Tatu, inawezakana ni kweli shule nilienda kutimiza wajibu but am very sure am smart kuliko wewe ulienda kujifunza! Prove me wrong kwa kujibu maswali niliyokuuliza badala ya kupuyanga puyanga tu!!!

Kwamba eti nijifunze kuandika maelezo madogo, sorry, sijazoea ku-argue na watu aina yako ambao less than 500 words wanaona maneno mengi... this tells more about you! Naandika maelezo mengi according to you but properly arranged! Angalia wewe sasa jinsi unavyoandika! Hujui hata ku-paragraph! Ni nani anayetakiwa kujifunza jambo kati yetu?

Aidha, kupitia hayo maelezo yako mafupi, nioneshe hizo points zilizojibu maswali yangu!!

Mbaya zaidi, wala hufahamu kwamba posts zangu zinakuwa ndefu kwa sababu najibu kila utumbo unaouandika wakati wewe hujajibu hata swali moja nililokuuliza!!

Lastly, jibu maswali niliyokuuliza, or else, piga kimya!!!
 
Mkuu inawezekana Nampa hesabu za log mwanafunzi wa darasa la pili
Again andika maelezo mafupi yenye points
 
Najaribu kujiuliza vipi huu Uzi ungekuwa saahii kama Mwana Fa angesema ule wimbo hauna maadili....Maana kuna mtu hapo juu kasema Jamaa anajipendekeza
 
Mkuu inawezekana Nampa hesabu za log mwanafunzi wa darasa la pili
Again andika maelezo mafupi yenye points
Jibu ulichoulizwa wewe!! Pole sana, manake nakuona unavyohangaika kuonesha kwamba upo vizuri sana kichwani lakini bado unashindwa kujibu maswali!!!!

Btw, log ndo nini hasa?!
 
Itakuwa kaongea kama Mwana Fa nadhan...maana kuna utofauti kuongea kama mjumbe Wa bodi na kuongea kama Fa
 
Mkuu inawezekana Nampa hesabu za log mwanafunzi wa darasa la pili
Again andika maelezo mafupi yenye points
Mkuu utakauka sauti bure na huyo bwana Mkubwa, lakini bila hata kwenda chuo kikuu huo wimbo kimaadili haufai tena haufai kabisa

Na si huo tu hao jamaa wa wcb hasa Daimondi nyimbo zao nyingi nizakufungia tu kama Basata wataamua kwenda deep,nivile tu wanaonekana kukamata mpini wakimuziki kwakutuwakilisha sehemu mbalimbali.

Huku mitaani vitu vinavyoimbwa nawatoto wetu ukisikiliza unaweza kuchinja mtoto ni aibu sana kwakweli.
 
I have never seen any role of basata other than that of banning new hits from local artists. Basata has no role to improve tz art and artists. Basata needs a turnaround change. Basata is loosing it
 
Tunataka nasi tutoe wimbo wa kwetu dar kunduchi kama watauruhusu huo
 
Tunataka nasi tutoe wimbo wa kwetu dar kunduchi kama watauruhusu huo
Unaruhusiwa but make sure hauna kigugumizi manake badala ya kusema Kunduchi, unaweza kuishia kusema "Kundu..kundu.. kunduchi!" Lazima tukufuate popote ulipo!
 
Hakuna wanafiki wakubwa kama nyie mnaojifanya mna maadili! The so called maadili kwa wanafiki ni kufanya uchafu wote gizani

SWALI: Kwa kujikita kwenye unafiki huo huo wa maadili, ni kipi hatari kwa maadili yenu kati ya wimbo unaosikika maneno "nyege nyege kwetu nyegezi" na motion picture kama Empire inayooneshwa DSTV?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…