Mwana FA & AY acheni utapeli, hamna miziki yenye thamani ya Bilioni 2.1, Tigo gomeni

Acha wapigwe fain tu kwan wasan huwa wanaenda kuimba studio bureee.........? Wanatoa pesa ndyo waimbee na hao tigo wanataka bure mbavuuu snaaa tena ata ingekuwa bilion 5 amna shidaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaah kweli Tanzania haiwez kuendelea ata miaka elf tatu mbele, yaani kuna watu wanahumia kabisa kwa vitu wasivyofaidika navyo, hii ni nchi gani kila mtu anamuonea wivu mwingine? Nchi gan hii kila mtu anataka kuskia habari mbaya mbaya tu za watu wengine?

Ujinga ni mkubwa sana hapa nchini, wewe Tigo unaijua? Inalisaidia nin taifa kama sio kuliibia tu? Je ni kampuni la mzawa?
 

Tigo unatoa ajira nyingi sana. Na kuongeza pato ka taifa. Mwana fa wala ay hawana mziki wa kuuza bilioni mbili. Wafanye kazi wapate hela co kunyapia nyapia
 
Mkuu acha kupoteza muda, kamtafute wakili aliyesimamia kesi ya ay na mwana fa muende mahakamani!! Hata ukishindwa itakua nafuu kuliko kukaa ndani na kuumia bila sababu!!!
 
Mkuu acha kupoteza muda, kamtafute wakili aliyesimamia kesi ya ay na mwana fa muende mahakamani!! Hata ukishindwa itakua nafuu kuliko kukaa ndani na kuumia bila sababu!!!
Mkuu, tangu 2006! Imeshapita miaka mingi sana.. Waache tu.
 
Mleta mada toa sababu 10 kwann wasiwe na sifa za kuidai hyo tigo yako?
 
Mungu akiamua kukupa anakupa tu tena from nowhere.
 
Mleta mada ni mbumbumbu sawa na wale wanaoona deni la ACCASIA ni kubwa mno.

......
 
Kula Wembe. Apo Msando Ana Ile 10% Yake Tu Kama 200 m Hivi. Sasa Wewe Unakaa Kupost Huku. Na Iyo Ilikua Ni Rufaa Siyo Kesi Ya Kwanza. Bas Nenda Na Wewe Kaimbe!! Shenzi!

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Kati ya FA au AY nani kakumegea demu wako
Maana sio kwa povu hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…