muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Tabia za kichawi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe unaona sawa kazi ya mtu kutumika bila kufuata utaratibu!!! Jitathmini kwa kinaNimesikia ati Mwana FA na AY wakishirikiana na wakili wa kujitegemea Albert Msando wanapaswa kulipwa bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya kutumia nyimbo za wasanii wao bila ruhusa yao.
Sikatai kweli ni kosa kisheria kwa maana hizo nyimbo zina hati miliki na mali ya wasanii tajwa, kinachonishangaza ni kiasi cha fedha wanachodai yaani bilioni 2.1 ambacho siyo realistic hata kidogo, kwa maana Ay na FA hawana nyimbo zenye thamani hiyo, na ni wasanii wakubwa wa zamani si kwa sasa.
Wito wangu wajaribu kudai kitu ambacho kina ukweli sio kutaja figure tu ili mradi kwani wote tunajua msanii mkubwa ni mmoja tu Diamond japo na yeye hana wimbo wa bil 2.1.
Msitegemee mistakes za watu kutajirika. Fanyeni muziki uwalipe kama Diamond. Huo utapeli mnaotaka kufanya Mungu anawaona.
Thanks in Advance.
Bongo bahati mbaya!
Acha roho mbaya na wivu, waache vijana wenzio wafanikiwe kwa kula matunda ya jasho la kazi yao, we inakuuma nini?? Ndo maana hatufanikiwiNimesikia ati Mwana FA na AY wakishirikiana na wakili wa kujitegemea Albert Msando wanapaswa kulipwa bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya kutumia nyimbo za wasanii wao bila ruhusa yao.
Sikatai kweli ni kosa kisheria kwa maana hizo nyimbo zina hati miliki na mali ya wasanii tajwa, kinachonishangaza ni kiasi cha fedha wanachodai yaani bilioni 2.1 ambacho siyo realistic hata kidogo, kwa maana Ay na FA hawana nyimbo zenye thamani hiyo, na ni wasanii wakubwa wa zamani si kwa sasa.
Wito wangu wajaribu kudai kitu ambacho kina ukweli sio kutaja figure tu ili mradi kwani wote tunajua msanii mkubwa ni mmoja tu Diamond japo na yeye hana wimbo wa bil 2.1.
Msitegemee mistakes za watu kutajirika. Fanyeni muziki uwalipe kama Diamond. Huo utapeli mnaotaka kufanya Mungu anawaona.
Thanks in Advance.
umasikini mbaya sana naulaani mpaka keshoNimesikia ati Mwana FA na AY wakishirikiana na wakili wa kujitegemea Albert Msando wanapaswa kulipwa bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya kutumia nyimbo za wasanii wao bila ruhusa yao.
Sikatai kweli ni kosa kisheria kwa maana hizo nyimbo zina hati miliki na mali ya wasanii tajwa, kinachonishangaza ni kiasi cha fedha wanachodai yaani bilioni 2.1 ambacho siyo realistic hata kidogo, kwa maana Ay na FA hawana nyimbo zenye thamani hiyo, na ni wasanii wakubwa wa zamani si kwa sasa.
Wito wangu wajaribu kudai kitu ambacho kina ukweli sio kutaja figure tu ili mradi kwani wote tunajua msanii mkubwa ni mmoja tu Diamond japo na yeye hana wimbo wa bil 2.1.
Msitegemee mistakes za watu kutajirika. Fanyeni muziki uwalipe kama Diamond. Huo utapeli mnaotaka kufanya Mungu anawaona.
Thanks in Advance.
Katika kesi kama hizi kinachoangaliwa sio thamani ya kazi ya mdai.Nimesikia ati Mwana FA na AY wakishirikiana na wakili wa kujitegemea Albert Msando wanapaswa kulipwa bilioni mbialiwa sio thamali kwa ajili ya fidia ya kutumia nyimbo za wasanii wao bila ruhusa yao.
Sikatai kweli ni kosa kisheria kwa maana hizo nyimbo zina hati miliki na mali ya wasanii tajwa, kinachonishangaza ni kiasi cha fedha wanachodai yaani bilioni 2.1 ambacho siyo realistic hata kidogo, kwa maana Ay na FA hawana nyimbo zenye thamani hiyo, na ni wasanii wakubwa wa zamani si kwa sasa.
Wito wangu wajaribu kudai kitu ambacho kina ukweli sio kutaja figure tu ili mradi kwani wote tunajua msanii mkubwa ni mmoja tu Diamond japo na yeye hana wimbo wa bil 2.1.
Msitegemee mistakes za watu kutajirika. Fanyeni muziki uwalipe kama Diamond. Huo utapeli mnaotaka kufanya Mungu anawaona.
Thanks in Advance.
Senge sanaa ww kwann unajikandia kwa wcb.unaona wasabi wengne awana thaman cyo na mdaa mwingine watanzania tujielewe atujui kuwa wimbo ukiwekwa kama mwito wa cm kwa siku msanii analipwa kias gan na mimi naona ni halali kwa mwana FA na AY kulipwa hvyo tena mimi naona ni kidogo snaa tusipende kulalamika vitu ambavyo atujui undan wake wala kilianzia mwaka gan mpaka apaa yalipotufikia......sengee snaaa tgo na aliye leta makala apa[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Nimesikia ati Mwana FA na AY wakishirikiana na wakili wa kujitegemea Albert Msando wanapaswa kulipwa bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya kutumia nyimbo za wasanii wao bila ruhusa yao.
Sikatai kweli ni kosa kisheria kwa maana hizo nyimbo zina hati miliki na mali ya wasanii tajwa, kinachonishangaza ni kiasi cha fedha wanachodai yaani bilioni 2.1 ambacho siyo realistic hata kidogo, kwa maana Ay na FA hawana nyimbo zenye thamani hiyo, na ni wasanii wakubwa wa zamani si kwa sasa.
Wito wangu wajaribu kudai kitu ambacho kina ukweli sio kutaja figure tu ili mradi kwani wote tunajua msanii mkubwa ni mmoja tu Diamond japo na yeye hana wimbo wa bil 2.1.
Msitegemee mistakes za watu kutajirika. Fanyeni muziki uwalipe kama Diamond. Huo utapeli mnaotaka kufanya Mungu anawaona.
Thanks in Advance.
Ki vpBaada ya kuuona huu uzi na kuusoma nimeamini uchawi upo kweli!