Mbona hyo ndogo, Lets do maths kdgo
1 song = tsh30 per day= tsh.900 per month+month fee tsh.400- tsh 1300 per month
Hapo ni 1 subscriber, kwa mwaka tsh. 1300x 12=tsh. 15,600 per year.
Kwa hyo mtu 1 akitumia ringtone ya FA na Ay kwa mwaka analipia Tsh. 15,600/=.
Now tu assume watu 200,000 wanatumia hyo ringtone kwa mwaka,
so itakuwa ni Tsh 3,120,000,000(billion 3.12) kwa mwaka.
Tuendelee hiyo ringtone imetumiwa kwa miaka 2,
so ukizidisha kwa 2 inakuwa Tsh. 6,240,000,000 (bilion 6.24).
Halafu hyo ni minimum, again by assumption kama ringtone imetumiwa na watu zaidi ya hyo figure hapo juu (laki 2). So ina maana wazee wa Jazwa Ujazwe wamepiga pesa mingii sana.
Tusichukulie poa hizi mambo wasanii wetu wa bongo wanaibiwa sana.