Hii pesa yote waligawana wawili tu au mgao ilienda kwa wengi na vipi kuhusu kesi mwanasheria wao alikuwa nani na kwanini tigo hawakukata rufaaHii nyimbo ndiyo nyimbo iliyoingiza hela nyingi kuliko zote za wasanii wa Tanzania..
Nyimbo ya usije mjini imewafanya mwana fa na ay wawe matajiri.
Hii nyimbo imewagharimu tigo bilioni 2 na milioni 155
Bila hii nyimbo mwana fa asingekuwa na hela za kugombea ubunge
Hii pesa yote waligawana wawili tu au mgao ilienda kwa wengi na vipi kuhusu kesi mwanasheria wao alikuwa nani na kwanini tigo hawakukata rufaa