Mwana FA: Baada ya kukaa Karantini kwa siku 28 nimepona kabisa Corona na nitagombea ubunge kupitia CCM mwaka huu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Mwanamuziki namba 1 wa kizazi kipya MwanaFA ametoka hadharani na kusema ni kweli aliumwa Corona na kwamba amepona kabisa.

Anasema sasa anaelekeza nguvu zake kwenye kinyang'anyiro cha ubunge kupitia CCM katika jimbo ambalo atalitangaza wakati chama kitakaporuhusu wagombea kutangaza nia zao.

Chanzo: Clouds tv!
 
Jamaa hovyo kweli
 
Amshukuru Mola wake kwa kumponya,kuhusu kugombea namtakia kila laheri.
 
Kuna kitu nakiona kwa wasanii wengi wa Dar na mahusiano yao na CCM. Wasanii wengi sana wenye asili ya mikoa ya nje ya Pwani ya Mashariki mwa Tanzania ni wafuasi sugu wa upinzani tangu enzi za NCCR-Mageuzi ikiwa maarufu miaka ya 1995 na kuendelea. Sielewi ni kwa nini?
 
Mwana FA kila kiongea ni boko tu
 
Anapataje ujasiri wa kujitangaza huyu dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…