johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Kujitangaza Corona au ubunge?Anapataje ujasiri wa kujitangaza huyu dogo.
Kujitangaza Corona au ubunge?Anapataje ujasiri wa kujitangaza huyu dogo.
Hilo la kwanza.....Kujitangaza Corona au ubunge?
Tokea nione ile clip ya mbunge wa CCM anashindwa kuongea bungeni na kuhitimisha kuwaambia wabunge wanaomcheka "MSINIZENGUE" nimeamini kila kiumbe mwenye uhai anaweza kuwa mbunge wa CCMView attachment 1433161
Hawa watu ni nadra sana kuwatenganisha na CCM na watu wake
Hawezi kupambana na Balozi Adad,huyu anakwenda Tanga Mjini akapambane na Dada Ummy Mwalimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe ni mstaarabu basi utakula maneno yako na kukiri hadharani kuwa ulikuwa huijui Tanga wala huwajui watu wa Tanga baada ya kijana huyo kuwa mwakilishi toka mkoa huo.Huyo ajitambui hakuna mtu wakumpa ubunge mpuuzi wa ccm
Bila shaka Mwana FA atagombea Muhezakwani yule dogo aliyemshikia maji marefu korogwe hana pumzi nn? ah ah
Kwani hao wabunge wa upinzani wanapimwa kwa sifa gani ili waweze kukubaliwa kuwa wabunge?Tokea nione ile clip ya mbunge wa CCM anashindwa kuongea bungeni na kuhitimisha kuwaambia wabunge wanaomcheka "MSINIZENGUE" nimeamini kila kiumbe mwenye uhai anaweza kuwa mbunge wa CCM
Ubora wao. Urahisi ni kuwa wanaojiunga upinzani tayari wanakuwa wamejitambua hivyo sio kazi ngumu kupata walio bora miongoni mwao.Kwani hao wabunge wa upinzani wanapimwa kwa sifa gani ili waweze kukubaliwa kuwa wabunge?
AiseeKwa kweli huyu mama amenisikitisha sana,yaani tunayumba kama nchi kuwa na wabunge vilaza sampuli ya huyu mama.
Kupiga hatua za kimaendeleo tusahau kwa sababu ya kuwa na wabunge wa hovyo na ndio maana tunapitisha sheria mbovu na kandamizi kwa jamii.
CCM ni janga, ningependekeza kama raia wa hii inchi atleast vigezo vya kugombea ubunge viongezwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hawa hawana utofauti wowote tatizo liko kwetu,kuna wabunge walikuwa wanaonekana wanaongea vitu vya maana kwa sababu tu wako upinzani ila walipohamia ccm tu watu wanaona wanaongea utumbo hata wakiongea vitu vyama hawatochukuliwa kama walivyokuwa upinzani.Ubora wao. Urahisi ni kuwa wanaojiunga upinzani tayari wanakuwa wamejitambua hivyo sio kazi ngumu kupata walio bora miongoni mwao.
Sio siri kuwa ni nadra sana kuona mbunge wa upinzani kasimama na kuzungumza upuuzi.
COMMENTS ZA WATU HUMU ZINAONYESHA NI JINSI GANI TANZANIA TUNA SAFARI NDEFU KUELEKEA KWENYE DEMOKRASIA NA SIASA ZA KISTAARABU!
Mkuu hapo kwenye aya ya mwisho... Kwani hufuatilii yanayoendelea nchini kuhusu uchaguzi ?Very wrong timings! Dogo hiki kipindi hakijakaa vizuri sana, Utatokota na utasahaulika usiamini.
Akili za watu haziko kwenye siasa sasa hivi, akili na mioyo ya watu iko kwenye kupigania maisha na pumzi. Ungesubiri upepo utulie ndio uongee hayo mania yako. Watu watakubeza na utajiona umechemka.
By the way nani kamuhakikishia uchaguzi upo mwaka huu?
Hata kama hali ya korona itaendelea hivi, uchaguzi utakuwepo tu?Mkuu hapo kwenye aya ya mwisho... Kwani hufuatilii yanayoendelea nchini kuhusu uchaguzi ?
Hujui kwamba tume ya taifa ya uchaguzi imeshatangaza bajeti iliyotengwa kwa ajiki ya uchaguzi na maandalizi yanaendelea ?
Labda namimi nikuulize, wewe ni nani amekuhakikishia kwamba mwaka huu uchaguzi haupo ?