Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,754
- 4,975
Mara kwa maraTaa kuzima mala kwa mala
Lord denning uje huku uongezee maelezo yako unahitajika na hukuTukiwaambia Nchi ina Majizi na Mapumbavu hamuelewi.
CCM imewafanya vijana wajikite kwenye ushabiki wa Simba na Yanga nako huko Inaabika.
CCM ni tatizoNi maajabu ya karne!
Tangu mwaka 2023 tulielezwa kwamba ukarabati mkubwa utafanyika katika uwanja wa Mkapa, Tukaelezwa kwamba zimeshatengwa zaidi ya bilioni 30 kwa ajili ya kazi hiyo na uwanja ukatangazwa kufungwa.
Ukijaribu kuhoji utaambiwa vyoo vimerekebishwa, Mashabiki na wachezaji wanakuja uwanjani kujisaidia haja ndogo? Hizi ni akili za wapi?
Lengo na madhumuni ya kwanza ya uwanja ni eneo la kuchezea, Inashangaza mpaka sasa pitch ni mbovu, hakuna TV, Hakuna mabango ya matangazo yanayodisplay kwa umeme, Kwa kifupi uwanja bado hauna mvuto hata kidogo!
Kumbuka hapo ni zaidi ya bilioni 30 zimewekezwa na ni zaidi ya miaka miwili imepita!
HAYA NI MAAJABU
Mleta mada kamaliza yote.Lord denning uje huku uongezee maelezo yako unahitajika na huku
Au wewe ndiye mwanakamati wa matengenezo!πMkuu billion 30 ziliishia kwenye ukarabati wa vyoo,.
Na sasa tunasubiri bajeti ipitishwe na katibu mkuu, Hivi punde tutaanza ukarabati maana tayari mkandarasi tumempata na matarajio yetu hadi kufikia mwenzi october uwanja uanze kutumika.
My country. π