Mwana FA na J DEE

Mwana FA na J DEE

nakumbuka ay wakati anazindua albam yake pale diamond jubilee ambayo alidhaminiwa na mtoto wa mengi , clouds on the vere same day waliaandaa tamasha leaders! Walichemsha mutie aliwapiga bao! Nafikiri dhamira yao ya kufanya hivyo ni kutaka kumtibulia jide! Binti machozi tuko nyuma yako!
 
Huyo dogo FA ni sehemu ya wasanii wa tz vibaraka wa ccm,

Hivyo kuwa upande wa Ruge katika tafrani hii ni jambo lililotegemewa!

Kimsingi Judith Wambura atawafahamu vizuri wasanii marafiki wa kweli na wanafiki wa kweli!
 
kusema washabiki jide hawezi kukosa kihiiivyo
ila kuna mwaka nilisema kuwa mimi simkubali mwana fa mkanichana ile mbaya

ay aliyaona mapema akaanza na sasa ni wa kimataifa.

mwana fa ni mswahili tu.
umesahau kuwa katokea tanga ilifaa aimbe baikoko
 
Mkuu, lugha uliyoandika ni kijerumani au? Maana sijakuelewa ati, aliyemuelewa jamani anidadavulie. Au wewe ni mzee wa short hand nini?

Matumizi sahihi ya bangi:UKIVUTA ULE NA CHAKULA CHA KUTOSHA..
 
Sio sawa kutaka kupambanisha vitu ambavyo haviendani. Na sidhani kama kuna tatizo show zikifanyika siku moja. Tuwatakie heri.

Unajua unachokiongea au unaongea usichokijua?
JD ni mwanamuziki, atafanya show ya muziki tarehe 31
FA ni mwanamuzi, atafanya show ya muziki tarehe 31
Tofauti ni nini hapo? au FA atakuwa anacheza mdodo na bao?
 
Huyo dogo FA ni sehemu ya wasanii wa tz vibaraka wa ccm,

Hivyo kuwa upande wa Ruge katika tafrani hii ni jambo lililotegemewa!

Kimsingi Judith Wambura atawafahamu vizuri wasanii marafiki wa kweli na wanafiki wa kweli!

You don't say... So everything in this country zinakuwa zinaletwa katika Level ya CCM na CHADEMA?
 
Unajua unachokiongea au unaongea usichokijua?
JD ni mwanamuziki, atafanya show ya muziki tarehe 31
FA ni mwanamuzi, atafanya show ya muziki tarehe 31
Tofauti ni nini hapo? au FA atakuwa anacheza mdodo na bao?

Dar es Salaam kuna wasanii na bendi ngapi? Wangapi wanafanya maonyesho tarehe 31? Mnataka wote wasifanye?
 
mbona ni kama hujui unachokiandika.....
next time soma mara mbili comment yako kabla hujaipost

watu wanataka Jide aachiwe wateja "bure bure",mi nahitaji apambane vilivyo kwani ndo biashara inavyotaka iwe...Wanamuziki wooote wafanye maonyesho yao siku hiyo it doesn't matter to me ila kwa wafuasi wa Jide wataona ameonewa.Ni muda wa kukomaa kibiashara sasa na kuacha manung'uniko,she has to earn us sio niende kwa Jide kisa kaonewa na Ruge (sympathy),NO,niende kwake kwa kuwa natarajia kitu bora.
 
watu wanataka jide aachiwe wateja "bure bure",mi nahitaji apambane vilivyo kwani ndo biashara inavyotaka iwe...wanamuziki wooote wafanye maonyesho yao siku hiyo it doesn't matter to me ila kwa wafuasi wa jide wataona ameonewa.ni muda wa kukomaa kibiashara sasa na kuacha manung'uniko,she has to earn us sio niende kwa jide kisa kaonewa na ruge (sympathy),no,niende kwake kwa kuwa natarajia kitu bora.

neno/word
 
Tarehe 31 MAY 2013 majibu yote yatapatikana nani mbabe... Ila naenda Nyumbani kwa JD nikamwone na Hamza kalala nikaskie real music..
 
ss km hafurukuti mbona mnalalamika yeye kuweka show siku moja na JIDE?....This Is Business...
 
FA na Wababe wa muziki Tanzania NJENJE itakuwa show ya kiwango cha lami kabisa....kulia liaa tuu toa burudani tuone piga kazi piga promo juu ya show yako sio muda wote unalalamika tuuuu umekuwa MTIKILA.
 
Dah sijui nianzie wapi ila kikweli umoja ni nguvu. Kwa umoja huo tanganyika ilopata uhuru. Wasanii wamekuwa wakilalamika dhuruma kupitia Malipo madogo wapatayo kutokana na kazi zao. FA ni Kati ya madogo niliokuwa nawaheahimu binafsi nilimfaham kupitia mdogo wangu waliesoma nae Tanga school end of 90s.
Ni jana usiku tukipata dinner na baadhi ya watanzania walio nje. tukawa tukijadili mistakabali wa nchi yetu. Suala la umoja likajitokeza na hapa mfano ukaenda moja kwa moja kwa show ya Jide 31 of may, tulisokotika kusoma ati Matonya ,TID linah kuitosa show hiyo kwa sababu mbalbali ambazo wengi wetu tiliona kuwa zinasabanishwa na hofu na uoga au kutojiamini. Aidha tulimpongeza Prof.J kwa msimamo wake. Hata hivyo, tukijadili suala la elimu kwa wasanii tukampata FA na hakika tukawa na uhakika kwamba kwa elimu yake hata kubali kitumiwa kama ngazi. Lakini naona imekuwa tofauti hii ni aibu kubwa kwa msomi kitumika vibaya kama jinsi wasomi wengi wanavyotumika katika siasa za Tz.
Kuhusu hoja kuwa kila msanii ana wapenzi wake. Ni kweli Hilo linafahamika. Sidhani kama watu wanataka jide apewe upendeleo Kwani nakumbuka haya kipindi anapiga Benjamin tower kuna club zilikuwa Zikiendelea na burudani kama kawaida na ukumbi ulikuwa una Jaa. Hapa kinachojadiliwa no jinsi wasanii walivyopewa mwaliko na kukubali kisha baadae kuutolea nje.
Binafsi, na hakika jide atafanya vyema. Ila nasikitika kuona kuwa pamoja na serikali kukimbizana na suala la hati miliki kwa wasanii, bado wasanii wenyewe hawajitambui na hawana umoja ndani yao.
Mungu awajalie kujitambua na kuthaminiana.
 
Msiwachonganishe wenzenu kwani watu wote wanamfagilia jide au Fa
Mbona mtaani kuna maduka kibao sehemu moja na yanauza bidhaa moja na kile siku lazima yafunguliwe kwa pamoja .
Halafu watu wameshamuona jide hana makosa ktk bifu na Clouds Fm.
 
Team anaconda





[TABLE="class: tr-caption-container, width: 655, align: center"]
[TR]
[TD]
263278_10152852769895525_1434799491_n.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Email Thi[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


 
Back
Top Bottom