Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
gamba jingine hilo atabaki hvyohvyo mwenzie ay yuko mbali
Kumbe Ambwene ni "gwanda" nilikuwa sina habari shukrani kwa kunifahamisha kweli jf ni house of great thinkers
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gamba jingine hilo atabaki hvyohvyo mwenzie ay yuko mbali
umesahau kuwa katokea tanga ilifaa aimbe baikokokusema washabiki jide hawezi kukosa kihiiivyo
ila kuna mwaka nilisema kuwa mimi simkubali mwana fa mkanichana ile mbaya
ay aliyaona mapema akaanza na sasa ni wa kimataifa.
mwana fa ni mswahili tu.
Mkuu, lugha uliyoandika ni kijerumani au? Maana sijakuelewa ati, aliyemuelewa jamani anidadavulie. Au wewe ni mzee wa short hand nini?
Sio sawa kutaka kupambanisha vitu ambavyo haviendani. Na sidhani kama kuna tatizo show zikifanyika siku moja. Tuwatakie heri.
umesahau kuwa katokea tanga ilifaa aimbe baikoko
Huyo dogo FA ni sehemu ya wasanii wa tz vibaraka wa ccm,
Hivyo kuwa upande wa Ruge katika tafrani hii ni jambo lililotegemewa!
Kimsingi Judith Wambura atawafahamu vizuri wasanii marafiki wa kweli na wanafiki wa kweli!
Unajua unachokiongea au unaongea usichokijua?
JD ni mwanamuziki, atafanya show ya muziki tarehe 31
FA ni mwanamuzi, atafanya show ya muziki tarehe 31
Tofauti ni nini hapo? au FA atakuwa anacheza mdodo na bao?
mbona ni kama hujui unachokiandika.....
next time soma mara mbili comment yako kabla hujaipost
watu wanataka jide aachiwe wateja "bure bure",mi nahitaji apambane vilivyo kwani ndo biashara inavyotaka iwe...wanamuziki wooote wafanye maonyesho yao siku hiyo it doesn't matter to me ila kwa wafuasi wa jide wataona ameonewa.ni muda wa kukomaa kibiashara sasa na kuacha manung'uniko,she has to earn us sio niende kwa jide kisa kaonewa na ruge (sympathy),no,niende kwake kwa kuwa natarajia kitu bora.