aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Huyu mbondei wa muheza mwenye ndoto za kugombea ubunge hapo muheza 2015 kupitia ccm naona anazidi kuchuja hii nyimbo yake ya kama zamani alianza kuipa promo toka mwaka jana mwishon mara imeahirishwa kutolewa lakin nyimbo yenyewe kuja kutoka ni uozo mtupu.
Hamna jipya kabisa hao njenje featuring yao nahisi nikupuliza hayo matarumbeta ambayo hata marco chali anaweza kufanya huko mbele tutaja sikia ametoa nyimbo feat hadija kopa,alichoki,twanga pepeta na rose muhando