mwana fa na kama zamani hakuna jipya

mwana fa na kama zamani hakuna jipya

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Huyu mbondei wa muheza mwenye ndoto za kugombea ubunge hapo muheza 2015 kupitia ccm naona anazidi kuchuja hii nyimbo yake ya kama zamani alianza kuipa promo toka mwaka jana mwishon mara imeahirishwa kutolewa lakin nyimbo yenyewe kuja kutoka ni uozo mtupu.
Hamna jipya kabisa hao njenje featuring yao nahisi nikupuliza hayo matarumbeta ambayo hata marco chali anaweza kufanya huko mbele tutaja sikia ametoa nyimbo feat hadija kopa,alichoki,twanga pepeta na rose muhando
 
anajitaidi fa sema anavyotumika na ruge na kua ccm ndo anaponiudhi.
 
hao kina rughe kama walimbeba jide si wambebe na huyo FA watu tulishamsahaugi kama bado yupo kwenye game
thread kama hizi zikianzishwa ndo tunajua anaexist
 
ungeweka mwimbo ningekushukuru zaidi.....,, hizo nyingine blablahh
 
Hivi haoni mwenzake Ay anavyopiga hatua.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
anaandaa show kiingilio elf 50 kama diamond vile
 
kawaida sn uimbaj n ule ule mashair mengne yamejirudia toka kwny yalait naona clouds wanajarbu kumpromote kiaina lkn hakuna lolote!.
 
Back
Top Bottom