mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Hii nyimbo Sio nyimbo ya kuifurahia sn,,
Sisi wenye akili nyingi ni matusi makubwa.
[[emoji444]Pesa Sio matako Kila mtu anayo[emoji444]
Hivi wakati ule ana njaa angeimba wimbo huu?
Hivi mtu lofa huna kitu unawezaje kuimba na kupenda wimbo huo?
Ni matusi kwenu malofa.