bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 3,083
- 5,179
Gachi BNi prodyucer yupi aliyewagongea beat mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gachi BNi prodyucer yupi aliyewagongea beat mkuu?
Umenena ukweli.....Mashair mazuri Sana,
Video nzuri Sana,
Tatizo beat bovu sana
We wivu unakusumbua na utakuwa masikin mpaka unakufa ukiendelea na hako ka tabia cha wivu! Idiot
Kuwazidi watu wa kanda ya ziwa? Wakerewe na watu wa mbeya?
Duuuuuuh tuhuma hizi lol. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]FA huwa anaimba mtazamo wake kuhusu maisha na mahusiano, binafsi huwa sikubaliani naye.
Kwanza Mwanamume kuweka pesaa mbele ya kila kitu ni ushoga, lazima uwe na mipaka.
In short,ni uswahili wa kichoko, na ndio maana anaishi kwa uchawa.
Eti Masikini Jeuri ni msemo tu,usiuweke kwenye akili, yaweza kuwa hata hao kina Salaah anayowafanyia uchawa wanamfira. Maana kea maelezo yake jamaa ni dhaifu sana akioneshwa pesa.
bora wewe umesemaUsiridie tena kumuhusisha Jay-Z na vitu vya kipuuzi.
Bhakresssaaaa
Kwani mstari wa "NAULENGA MWEZI NA JUA HATA NIKILIKOSA NTAJUA"Zaman nilikua namkubali sana FA kwa michano yake ya kibabe, ila baada ya mie kuanza kusoma vitabu na kusikiliza mziki tofauti tofauti duniani nikagundua kajamaa huwaga kanakopi/kutafsiri tu mistari(a.K.a gugo transileta). Hakunaga mstari wa ngoma yake ulinibamba kama ule ''MI NI ALMASI MCHANGANI,SEMA TU SIJASHTUKIWA'' . Kuna siku nimetulia gheto namsikiliza mtu mzima 50cent ngoma ya many men nakuta anachana same line, yaani ilibaki kidogo nikoment page ya mtu mzima 50 ''yo 50 you kopied ze laini flom mwana fa, mwingine fid eti ''NAULENGA MWEZI NA JUA HATA NIKIUKOSA NTATUA JUU YA NYOTA'' i waz like r u siliaz nigg? Ukiwa artist pasua kichwa uje na chako kuliko kupewa taji kwa vina vya tafsiri,
bora namsikilize SONGA na goma lake lile anaimba maisha ya ndege(aliwaza nje ya box) au lile la usiku
WoteSiwajui Wakerewe
Mbeya kuna makabila mengi, una maanisha kabila lipi?
Huu wa Fid Q kwenye Cnn na Albert Mangwair.Kwani mstari wa "NAULENGA MWEZI NA JUA HATA NIKILIKOSA NTAJUA"
Wimbo gani wa mbele una huu mstari
kuna ngoma moja ya nimeisahau niliusikia nikikumbuka nitakuwekea hapa si unajua ni kitambo sanaKwani mstari wa "NAULENGA MWEZI NA JUA HATA NIKILIKOSA NTAJUA"
Wimbo gani wa mbele una huu mstari
Ni prodyucer yupi aliyewagongea beat mkuu?
Huo mstari ni wa Fid Q kwenye ngoma ya CNN ya Albert Mangwair.kuna ngoma moja ya nimeisahau niliusikia nikikumbuka nitakuwekea hapa si unajua ni kitambo sana
Gachi B,wanene studio.Hata Sijui,
Ila beat Ni mbovu sana
Inatia hata uvivu kuiskiliza
P-Funk hanaga beats mbovu!!Itakua P Funk Majani
Beat sio shida Kama.Hata Sijui,
Ila beat Ni mbovu sana
Inatia hata uvivu kuiskiliza
SureKuna wapuuzi wanamponda Mwanafa kuwa CCM, halafu kwenye jukwaa la siasa wanalalamika inchi haina Demokrasia.
Sasa unajiuliza hivi Demokrasia maana yake wanaijua. Wewe kama hutaki kusikiliza Mwanafa kwa ajili ya ujinga wako wa kutoelewa Demokrasia husisikilize sisi tutamsikiliza.
Kuna maisha nje ya siasa.