Mwana FA: Sina mpango wa kufanya kazi tena na Lady Jay Dee

Mwana FA: Sina mpango wa kufanya kazi tena na Lady Jay Dee

Wote wana uzoefu mkubwa ktk game. Muhimu ni kuonesha ukomavu na kukwepa mitego ya media ambazo hata hivyo hazijali sana mustakabali wa kesho yako. Kwa hili Mwana FA anaonesha kupiga hatua kadhaa kurudi nyuma.
 
Miltaka ajibuje, tatzo wabongo wanatakaga majibu ya kinafiki yale ya kuzunguka....mm naona kajibu ilivotakiwa kabisa kutoka moyoni hajaweka unafiki wala porojo
 
Walio mchonganisha nae walijipendekeza nw wanagonga nyimbo zake yy kaachwa ivoivo
 
Mbona ametaja wasanii wengi tu, mbunge wa mikumi akiwepo..

Mleta uzi umeona ushikilie hapohapo!
 
Kwani Jide anahitaji kufanya nae kazi? Jide now anapiga kazi na mpenzi wake na anataka kupaa kimataifa zaidi, amuache Jide afanye yake nae afanye yake.
 
Ni kwamba hilo swali ni la mtego, kwa mtu anayejielewa hakupaswa kujibu. Maswali ya kipumbav hayajibiwi na mtu makini
Hakuna cha mtego eatv na ea ea radio no washirika wa jaydee ma walipouliza swali walitegemea mwana fa atawajibu positive kwa msanii wao as if wanataka kuwapatanisha ila mwana FA akawapa makavu hata watangazaji wakawa wapole
 
Kwani Jide anahitaji kufanya nae kazi? Jide now anapiga kazi na mpenzi wake na anataka kupaa kimataifa zaidi, amuache Jide afanye yake nae afanye yake.


Hahaaaaaaa,mpenzi Mnigeria eeeh,ngoja apigwe aje kulialia humu,analiwa timing tu akijitela tu kaisha,we wanaijeria usiwatanie kabisa,walishampiga dada mmoja wa kibongo tulipokuwa tunasoma kozi ya miezi 9 china,siku moja kabla ya kugraduate kakomba kila kitu kwenye akaunti ya yule dada,hadi leo yule mdada akili yake haipo sawa,alikombwa kama dola elf40 hv
 
Huyu mjamaa mara ya mwisho kwenye kipindi cha FNL eatv alikuwa anafanya vituko. Alikuwa anataka kujitutumua aongee kingereza mbele ya kile kidem anachoimba nacho izzo business ila kiingereza chenyewe kikawa kinakataa,yani alikuwa anajiabisha kwa mambo aliyokuwa anayafanya.
 
Jamaa kawa honest sijui kwanin Mme chukia mlitaka adanganye?

Mi ni shabiki wake kitambo ila iko wazi ishu yake na Jide anai-handle ki-kike sana iko wazi walikua maswahiba na walitengeneza bonge la chemistry toka wagombane yeye kama mwanaume alitakiwa aache kuzungumzia tu kuepusha shari.
 
Back
Top Bottom