Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Suruali .Mpaka leo mwanafa amebaki.na kinyongo.....
Mwanaume gani yupo hivyo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suruali .Mpaka leo mwanafa amebaki.na kinyongo.....
Mwanaume gani yupo hivyo...
mwanaume suruali.Mpaka leo mwanafa amebaki.na kinyongo.....
Mwanaume gani yupo hivyo...
Kwan kilitokea nnMwanaFA yupo sahihi,huwezi kufanyakazi na aliyekudhalilisha kwani hujui anafikiria nini tena kichwani kwake
Walio mchonganisha nae walijipendekeza nw wanagonga nyimbo zake yy kaachwa ivoivo
Ni kwamba hilo swali ni la mtego, kwa mtu anayejielewa hakupaswa kujibu.Jamaa kawa honest sijui kwanin Mme chukia mlitaka adanganye?
Hakuna cha mtego eatv na ea ea radio no washirika wa jaydee ma walipouliza swali walitegemea mwana fa atawajibu positive kwa msanii wao as if wanataka kuwapatanisha ila mwana FA akawapa makavu hata watangazaji wakawa wapoleNi kwamba hilo swali ni la mtego, kwa mtu anayejielewa hakupaswa kujibu. Maswali ya kipumbav hayajibiwi na mtu makini
Kwani Jide anahitaji kufanya nae kazi? Jide now anapiga kazi na mpenzi wake na anataka kupaa kimataifa zaidi, amuache Jide afanye yake nae afanye yake.
Jamaa kawa honest sijui kwanin Mme chukia mlitaka adanganye?