joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Proffesa Jay kipindi kile alipokuwa anatumia biti za Majani kupiga show alikuwa anamlipa kiasi gani Majani?wachache wanajitambua, P-Funk alilamba ile 100m peke yake na kumchinjia mbali Prof-J kuhusu beat ya Nikusaidieje kutumika kwenye Katwe
Tena Majani yupo fair sana kama tungekuwa na sheria kama za mbele Majani leo hii angekuwa ni bilionea.