Mwana FA: Tulilipwa Bilioni mbili na milioni mia moja hamsini na tano baada ya kushinda kesi

Mwana FA: Tulilipwa Bilioni mbili na milioni mia moja hamsini na tano baada ya kushinda kesi

Bila shaka ni "Mwana-FA" na siyo ''Mwanafa" .

Anyway, huyu Mwana-FA ana falsafa nzuri sana kimaisha. Bila shaka ugumu wa maisha ulimpa akili nyingi sana.

Muheza wamepata mbunge sahihi. Kura nyingi kwa Mwana-FA.
Sie wa Bumbuli tumepata hasara
 
Dili za mabilioni na bado tai hizioni,
Shati navaa la jana ila gari nimebadili.

Ipo siku utaniheshimu ama utaheshimu hela zangu!
 
Kwani kulikuwa na nini? Mwaka 2011 nilikuwa sifuatilii vitu kama hivi
 
Nakubaliana na wewe kwenye akili kubwa,kwenda bungeni ni probability maana anayepambana naye ni mbunge aliyemaliza muda 2020(Chadema).
Hapana jimbo lilikuwa chini ya ccm mbunge ni jajusi na balozi wazamani adadi rajabu,ex spy chief intelligence moja kati ya ma sniper hatari kuwahi kutokea kati uso wa nchi ukimuacha marando (the living legend)

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu haujanielewa vizuri ,Adad si amepambana naye ndani ya CCM na akakatwa ,namzungumzia anayepambana naye kwa sasa ni mbunge aliyemaliza bunge la 2015-2020 kwa chadema.
 
Ouky bro anapambana na nanii hapo muheza,

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app

Mh Yosepher Ferdinand Komba. (Viti Maalumu 2015-2020)

Yosepher.jpg
 
Back
Top Bottom