Mwana FA: Tulilipwa Bilioni mbili na milioni mia moja hamsini na tano baada ya kushinda kesi

Sijaelewa unamaanisha wanadaiwa hela walizolipwa au.. maana hela walishalipwa na zimemsaidia mwa fa kwenda sawa na wajumbe pamoja na biashara na kujenga nyumba kali
Hawadaiwi, nasema hiyo kesi walishinda kwa sababu ya mwanasheria aliyewasaidia, walishindwa mara zote za mwanzo ila mwishoni Msando akanunua hyo kesi akapigania akashinda.
Kwa hyo swali ni je walishinda kwa mashiko ya kesi yenyewe au kwa sababu ya uwezo wa Msando kulobby na system ya mahakama.
 
Nilishangaa mtu anaesema hawajashinda.. na wameweka screen shot yenye taarifa zisizoeleweka.

Kesi kushinda ni mipango iliyopangwa vizuri . Hii kesi ya bilion 2.. lazima ina walaji wengi wakiwemo watu wa tigo.. hakuna mtu asiyetaka hela... na hela ni za tigo kampuni... si ajabu hata watu wa tigo wamehusika kufanikisha bilion 2 zitoke ili na wao wapate mgao wao... mahakama zetu nazani u azijua pia kwenye swala la pesa... mtu akiambia ana dau lake na yeye kwenye mgao... lazima akubebe tu
 
Eeh strategy aliotumia imemlipa. Bei ya kawaida ndio key, sio ule upuuzi wa diamond na chibu perfume. Ilipotea chap sababu ya poor pricing strategy.
Chibu perfume was a miss. Sijui walifikiria nini ile bei!!
 
Ile kesi waliitengeneza wao watatu, ay, Fa na Msando na ela waliigawana. Na baada ya mgao Msando alijiondoa kwenye Law Firm aliyokuwa anafanya kazi. It was a business na hiyo pesa si ajabu wameila watu wengi mpaka kupatikana ushindi na ndiyo maana ukisoma hiyo hukumu inaonyesha hukumu ya awali ilikuwa na makosa mengi.
Hapo Sasa inaleta maana;

Kilichofanyika ni simply upigaji.

Hela ilivutwa fasta baada ya hukumu, meaning hata watu wa ndani ya kampuni wanahusika, maana ndio walioauthorize malipo.
 
Ile kesi waliitengeneza wao watatu, ay, Fa na Msando na ela waliigawana. Na baada ya mgao Msando alijiondoa kwenye Law Firm aliyokuwa anafanya kazi. It was a business na hiyo pesa si ajabu wameila watu wengi mpaka kupatikana ushindi na ndiyo maana ukisoma hiyo hukumu inaonyesha hukumu ya awali ilikuwa na makosa mengi.

sasa kimenuka tena
 
Nilishangaa mtu anaesema hawajashinda.. na wameweka screen shot yenye taarifa zisizoeleweka.

Kesi kushinda ni mipango iliyopangwa vizuri . Hii kesi ya bilion 2.. lazima ina walaji wengi wakiwemo watu wa tigo.. hakuna mtu asiyetaka hela... na hela ni za tigo kampuni... si ajabu hata watu wa tigo wamehusika kufanikisha bilion 2 zitoke ili na wao wapate mgao wao... mahakama zetu nazani u azijua pia kwenye swala la pesa... mtu akiambia ana dau lake na yeye kwenye mgao... lazima akubebe tu

Na Kama Kuna watu wa Tigo waliusika deal hapo kwenye hizo corporate companies ni 50% ya 2 billion inaludi ndani kwa aliesimamia mchongo internally na kundi lake halafu hiyo 1billion iliyobaki ndio wanagawana mwana FA , AY , Majaji , mahakimu wanasheria na kundi lote

kwa kifupi sijui Mwana FA na AY watailudishaje na hawajala peke yao
 
Makampuni haya ya SIMU yaache tabia ya kutumia CALLER TUNE za wasanii bila ya KUHAKIKISHA kuwa MADALALI wa hizo CALLER T wamewalipa WASANII....

Kutumia HAKI ya mtu bila ya ridhaa yake ni UKUPE....

Kama TAIFA linaloendelea....huu ukanjanja UJIFIE TU....
 
Hii ishu mbona umeikomalia sana wewe jamaa,
Unawashwa washwa na nini??
 
Ile kesi waliitengeneza wao watatu, ay, Fa na Msando na ela waliigawana. Na baada ya mgao Msando alijiondoa kwenye Law Firm aliyokuwa anafanya kazi. It was a business na hiyo pesa si ajabu wameila watu wengi mpaka kupatikana ushindi na ndiyo maana ukisoma hiyo hukumu inaonyesha hukumu ya awali ilikuwa na makosa mengi.
Mahakama imepindua meza.
 
Back
Top Bottom