kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Authority hakuna asiyeyapendaYani ulipwe bil 2,alafu uje uhangaike na ubunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Authority hakuna asiyeyapendaYani ulipwe bil 2,alafu uje uhangaike na ubunge
Bora huyo b uliza familia ya ngwea ilipata kiasi gani?? Walitumia wimbo dakika moja ya ngwea
Hawadaiwi, nasema hiyo kesi walishinda kwa sababu ya mwanasheria aliyewasaidia, walishindwa mara zote za mwanzo ila mwishoni Msando akanunua hyo kesi akapigania akashinda.Sijaelewa unamaanisha wanadaiwa hela walizolipwa au.. maana hela walishalipwa na zimemsaidia mwa fa kwenda sawa na wajumbe pamoja na biashara na kujenga nyumba kali
Hawadaiwi, nasema hiyo kesi walishinda kwa sababu ya mwanasheria aliyewasaidia, walishindwa mara zote za mwanzo ila mwishoni Msando akanunua hyo kesi akapigania akashinda.
Kwa hyo swali ni je walishinda kwa mashiko ya kesi yenyewe au kwa sababu ya uwezo wa Msando kulobby na system ya mahakama.
Chibu perfume was a miss. Sijui walifikiria nini ile bei!!Eeh strategy aliotumia imemlipa. Bei ya kawaida ndio key, sio ule upuuzi wa diamond na chibu perfume. Ilipotea chap sababu ya poor pricing strategy.
Hapo Sasa inaleta maana;Ile kesi waliitengeneza wao watatu, ay, Fa na Msando na ela waliigawana. Na baada ya mgao Msando alijiondoa kwenye Law Firm aliyokuwa anafanya kazi. It was a business na hiyo pesa si ajabu wameila watu wengi mpaka kupatikana ushindi na ndiyo maana ukisoma hiyo hukumu inaonyesha hukumu ya awali ilikuwa na makosa mengi.
Ile kesi waliitengeneza wao watatu, ay, Fa na Msando na ela waliigawana. Na baada ya mgao Msando alijiondoa kwenye Law Firm aliyokuwa anafanya kazi. It was a business na hiyo pesa si ajabu wameila watu wengi mpaka kupatikana ushindi na ndiyo maana ukisoma hiyo hukumu inaonyesha hukumu ya awali ilikuwa na makosa mengi.
Hiyo pesa hakuambuliwa kitu iligawana kati yake, Ay, na mr. albert almaarufu kama (ksado)
Nilishangaa mtu anaesema hawajashinda.. na wameweka screen shot yenye taarifa zisizoeleweka.
Kesi kushinda ni mipango iliyopangwa vizuri . Hii kesi ya bilion 2.. lazima ina walaji wengi wakiwemo watu wa tigo.. hakuna mtu asiyetaka hela... na hela ni za tigo kampuni... si ajabu hata watu wa tigo wamehusika kufanikisha bilion 2 zitoke ili na wao wapate mgao wao... mahakama zetu nazani u azijua pia kwenye swala la pesa... mtu akiambia ana dau lake na yeye kwenye mgao... lazima akubebe tu
Hapo Gogoki2014 anakwambia "WAMETEMESHWA KIAZI CHA MOTO". Hahahahahaasasa kimenuka tena
Hii ishu mbona umeikomalia sana wewe jamaa,Makampuni haya ya SIMU yaache tabia ya kutumia CALLER TUNE za wasanii bila ya KUHAKIKISHA kuwa MADALALI wa hizo CALLER T wamewalipa WASANII....
Kutumia HAKI ya mtu bila ya ridhaa yake ni UKUPE....
Kama TAIFA linaloendelea....huu ukanjanja UJIFIE TU....
Mahakama imepindua meza.Ile kesi waliitengeneza wao watatu, ay, Fa na Msando na ela waliigawana. Na baada ya mgao Msando alijiondoa kwenye Law Firm aliyokuwa anafanya kazi. It was a business na hiyo pesa si ajabu wameila watu wengi mpaka kupatikana ushindi na ndiyo maana ukisoma hiyo hukumu inaonyesha hukumu ya awali ilikuwa na makosa mengi.
Kinachokusukuma ww kuuliza ni nn km nawe huwashwiwashwi ?!!Hii ishu mbona umeikomalia sana wewe jamaa,
Unawashwa washwa na nini??
Ina maana Tigo wamekata rufaa au imekuwaje hapo?Mahakama imepindua meza.