Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Morning guys,mimi ni shabiki haswaa wa Mwana FA kama ulianza kupenda bongo fleva juzi ndio utamdisi mwana FA,hamna mwandishi wa nyimbo anayeumiza kichwa kama huyu jamaa that y we calld him Mwanafalsafa,Mfalme ndio ngoma inayodhihirisha hili baada ya kuandikwa nyongi huko nyuma,nakubaliana na mtoa mada kwa hili,kuitoa hii ngoma na kiba ilikuwa mapema mno,mfalme bado ilikuwa inafanya pouwa,huu wimbo aliotoa na kiba upo pouwa ila hiki haukuwa kipindi chake angesubiri mfalme ichuje,point Noted nitamshauri kama nilivyomshauri kwenye bifu na Jide,tukaomba msamaha na soon Ngoma kali na Jide mtaiskia January hivi au Feb ngoma itatoka.
Nyie team Kiba pigeni kimya kwanza.
Single moja kelele NCHI nzima.
Mkuu team kiba ndio nini?
Jide na binamu wamemaliza bifu?Morning guys,mimi ni shabiki haswaa wa Mwana FA kama ulianza kupenda bongo fleva juzi ndio utamdisi mwana FA,hamna mwandishi wa nyimbo anayeumiza kichwa kama huyu jamaa that y we calld him Mwanafalsafa,Mfalme ndio ngoma inayodhihirisha hili baada ya kuandikwa nyongi huko nyuma,nakubaliana na mtoa mada kwa hili,kuitoa hii ngoma na kiba ilikuwa mapema mno,mfalme bado ilikuwa inafanya pouwa,huu wimbo aliotoa na kiba upo pouwa ila hiki haukuwa kipindi chake angesubiri mfalme ichuje,point Noted nitamshauri kama nilivyomshauri kwenye bifu na Jide,tukaomba msamaha na soon Ngoma kali na Jide mtaiskia January hivi au Feb ngoma itatoka.
Kwenye context ya love,Usikilize ! Afu ulinganishe na ngoma yeyote ya F.A kipindi yupo juu. Zipo nyingi chagua mwenyewe.
!!
Jide na binamu wamemaliza bifu?
Na wanakuja na ngoma mpya
Ulitaka abane makalio?
km kweli raha ntafurahi sanaaa
Imethibitishwa kwamba no more biff..??
Alikushauri nani utoe wimbo wa pili harakaharaka ilhali 'MFALME' , ilikua bado maskioni mwa watu.
Ulikurupuka au kurupushwa.?
Huu wimbo ulofanya na KIBA si level zako,,
kiba kabana pua ,sijui anaimbia wapi,? Kaharibu, we mwenyewe ume..! Damn.
Nilijua unarudi , ila umejipoteza., kwa hii ngoma, hata jina siijui.
Disapointed Me.
.