Mwana FA, Umepiga hatua 4 mbele umerudi 8 nyuma, Disapointing

Kiboko yangu Wimbo mbovu? Labda ubovu wake upo kwenye nini?

Au ndo kisa kiba?

Usikilize ! Afu ulinganishe na ngoma yeyote ya F.A kipindi yupo juu. Zipo nyingi chagua mwenyewe.

!!
 

Mwana FA yupo vizuri
Hii ngoma ya mfalme ipo poa video mbovu. Hii ngoma bado ipo kwenye joto angeipa time then atoe ingine
Ili jina la mwanafalsafa mmemuita wenyewe kama si kupewa na bro'z wake
Ila mwandishi mzuri bt J. moe
Ndo king wao
 
Naona hapa ndo unaput an end to kiba and Dimond kama ulivohaidi!!:How sympathetic!!
 
Tusiongozwe na ushabiki APA tangy nimeanza kusoma comment za watu nimegundua kuna pande mbili zinakinzana hapa, kwanza kuna ukiba na diamond humu. Jaman Hawa watu wote ni wazuri kila mmoja kwa nafasi yake.
Speaking ya song ya FA mi huyu jamaa sijawahi kumchukia wala kuona akifanya kazi mbaya huko nyuma ila kwa hii kateleza kidogo. Ni ubinadamu wake tumpe nafasi atatoka na kikali zaidi.
 
Jide na binamu wamemaliza bifu?
Na wanakuja na ngoma mpya
 
Hakuna song kali ya FA ka hii, simpendi huwa sipendi kuskiliza nyimbo zake ila najishangaa hii nmeweka repeat 1
 
Unanitega ah ah
Mbna miguu iko waz umenipenda
Hebu uko!...
Mbna kifua kiko waz unanitega ah ah...
Kla uendapo nawe upoupo, ah
Kla nfanyacho n vituko ss sema kama unataka...............................


MwanaFa... bigi apu bigi apu, iyo nyimbo ulotoa kipind hiki mwaya hapana naungana na #blogger .
 
Ulisikiliza album ya Mwanafalsafani....yule ndio Mwana F.A ninayependa arudi siku zote. Halafu yule alikua bext na JD...I want that shit back gddmt!
 

Rose Mhando katoa ngoma mpya,vp unaitasiminije yenyewe ndugu mchambuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…