Mwana FA, Umepiga hatua 4 mbele umerudi 8 nyuma, Disapointing

Kwenye mwanafalsafa,tuliza boli,aminia na nyinginezo..

No matter what,huwezi kusema mfalme,hawajui na yalaiti ni ngoma mbovu

Mwana FA hapendezi kuimba mapenzi ya kusifia sifia kama akina BARNABA.,

Anafaa ktk consciouss hiphop, hata mapenzi akiyaimba hivyo yanapendeza.

Unaikumbuka 'NTAOA LINI'..?? ile ni consciouss... Ma sifa sifa awaachie wabana pua.
 
my best list of F.A
Mabint damu damu
Tuliza boli
Ungeniambia
Alikufa kwa ngoma
Dirisha la misuko suko (sina hakika kama ndiyo jina halisi la wimbo)
Msiache kuongea
Siku macho nikiyafumba
Binamu
 
my best list of F.A
Mabint damu damu
Tuliza boli
Ungeniambia
Alikufa kwa ngoma
Dirisha la misuko suko (sina hakika kama ndiyo jina halisi la wimbo)
Msiache kuongea
Siku macho nikiyafumba
Binamu

Heshima yako Mkuu.
THANKS.

Nazipenda zote hizo, ila 'Binamu' zaidi.
 
my best list of F.A
Mabint damu damu
Tuliza boli
Ungeniambia
Alikufa kwa ngoma
Dirisha la misuko suko (sina hakika kama ndiyo jina halisi la wimbo)
Msiache kuongea
Siku macho nikiyafumba
Binamu

show time
wanapendana
unanitega
bado niponipo!
nimesahau ila yupo na jide
 
my best list of F.A
Mabint damu damu
Tuliza boli
Ungeniambia
Alikufa kwa ngoma
Dirisha la misuko suko (sina hakika kama ndiyo jina halisi la wimbo)
Msiache kuongea
Siku macho nikiyafumba
Binamu

show time
wanapendana
unanitega
bado niponipo!
nimesahau ila yupo na jide


ila fa noooma
anakwambia
ukiwa kwangu lazima ukose mkonoo
lazima utoe machozi iwe huzuni ama upendo
*************
amina kawa mayna clara na rayya au labda marayya
sikitu hataki jina na asia anaitwa eshia
************
 
1.aminia ft cowizy na babu
2.nazeeka sasa ft sugu na Jay.
3.mwanafalsafa.
4.hawajui ft
5.alikua kwa ngoma
6.mfalme
7.ungenambia.
8.demu wangu wa kwanza ft bele 9
9.show time.
10.mabinti.

My top ten from Fa
 
1.aminia ft cowizy na babu
2.nazeeka sasa ft sugu na Jay.
3.mwanafalsafa.
4.hawajui ft
5.alikua kwa ngoma
6.mfalme
7.ungenambia.
8.demu wangu wa kwanza ft bele 9
9.show time.
10.mabinti.

My top ten from Fa

demu wngu wa kwanza aliimba na Q jay
 

Najigeuza Dully natoa namba ya simu 3 3 upumb.

Mzuka unampanda kiziwi ngomani kaskia nini..

Jamaa anajua nilikuwa namkubari sana kitambo.
To be honest ngoma yake ya mwisho kuikubari saana ni binamu. Ile ngoma ukichanganya beat ya Marco Chali aliua vibaya.
Toka hapo namkubari kawaida..
 
Ungeniambia kwamba penzi lako hutoka kwa ofa ya bia,au hata bure ukijisikia,,

Unakosaje kukumbuka hifazi ya Penzi langu,Au umeota mabawa hulitaki tena tundu! Ungeniambia

Ndio Binamu ninae mjua uyo.
 
Ungeniambia kwamba penzi lako hutoka kwa ofa ya bia,au hata bure ukijisikia,,

Unakosaje kukumbuka hifazi ya Penzi langu,Au umeota mabawa hulitaki tena tundu! Ungeniambia

Ndio Binamu ninae mjua uyo.

Sitaki unipende, nataka unichukie..
Katafute kauli mbaya ndiyo uje uniambie.
B
 
Twende mwanafalsafa!!

Mwenge hauna mafuta,bado mnauwasha hadharani!!
Kama kulala,njoo tulale nyuma ya mstari wa adui!!
 
Nyie team Kiba pigeni kimya kwanza.

Single moja kelele NCHI nzima.

Kwahyo tatzo lako wewe n kushrikishwa alikiba??

Msipokuwa makini huyu mtoto wa kariakoo ata wa sodomize
 

tuliza ball acha kudata
sisi tunaroll bila matata
combination yenyewe umepata
muziki unakuvutavutaaaa....!!!
unapataa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…