blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
- Thread starter
- #61
Kwenye mwanafalsafa,tuliza boli,aminia na nyinginezo..
No matter what,huwezi kusema mfalme,hawajui na yalaiti ni ngoma mbovu
Mwana FA hapendezi kuimba mapenzi ya kusifia sifia kama akina BARNABA.,
Anafaa ktk consciouss hiphop, hata mapenzi akiyaimba hivyo yanapendeza.
Unaikumbuka 'NTAOA LINI'..?? ile ni consciouss... Ma sifa sifa awaachie wabana pua.