Mwana FA, Umepiga hatua 4 mbele umerudi 8 nyuma, Disapointing

Mwana FA, Umepiga hatua 4 mbele umerudi 8 nyuma, Disapointing

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Alikushauri nani utoe wimbo wa pili harakaharaka ilhali 'MFALME' , ilikua bado maskioni mwa watu.

Ulikurupuka au kurupushwa.?

Huu wimbo ulofanya na KIBA si level zako,,
kiba kabana pua ,sijui anaimbia wapi,? Kaharibu, we mwenyewe ume..! Damn.

Nilijua unarudi , ila umejipoteza., kwa hii ngoma, hata jina siijui.

Disapointed Me.

.
 
Yaani mimi ni kama wewe. Mwana FA huwa simfagilii hata kidogo, lakini huu uzi ndio siufagilii zaidi na zaidi.
Ova

Nyie watoto mloanza fuatilia bongo flavour juzi hamuwezi elewa.

Mada zenu ni za Di na kiba.

Kuleni kona.

Album ya 'MWANAFALSAFANI' ,,mwaijua ?

Uwezo ulo mle ndani.?,

pigeni kimya. Kabugi fanya ngoma na kiba.
 
Mwanafalsafa kwa tunaomjua kaharibu hii ngoma! Jamaa wa unanitega,mabinti,bado niponipo,alikufa kwa ngoma sio huyu aisee. Ajipange gemu hili la jojo atachemsha amuige profesa.
 
Duuuh watu mnawaza Kiba tu...!
Na amewakamata kweli kweli mwaka huu sehemu ya kuny.ea
 
Kuna ukweli ulichokiongea,Mwana FA kinachomwangusha siku hizi ni production mbovu,Kama zamani ndio track ambayo production ilikuwa nzuri but Mfalme na Kiboko yangu wamechemsha afadhali Mfalme GNako aliimba vizuri sana kwenye chorus
 
Alikushauri nani utoe wimbo wa pili harakaharaka ilhali 'MFALME' , ilikua bado maskioni mwa watu.

Ulikurupuka au kurupushwa.?

Huu wimbo ulofanya na KIBA si level zako,,
kiba kabana pua ,sijui anaimbia wapi,? Kaharibu, we mwenyewe ume..! Damn.

Nilijua unarudi , ila umejipoteza., kwa hii ngoma, hata jina siijui.

Disapointed Me.

.

We mcha.wi nini?
 
Kiboko yangu Wimbo mbovu? Labda ubovu wake upo kwenye nini?

Au ndo kisa kiba?
 
Morning guys,mimi ni shabiki haswaa wa Mwana FA kama ulianza kupenda bongo fleva juzi ndio utamdisi mwana FA,hamna mwandishi wa nyimbo anayeumiza kichwa kama huyu jamaa that y we calld him Mwanafalsafa,Mfalme ndio ngoma inayodhihirisha hili baada ya kuandikwa nyongi huko nyuma,nakubaliana na mtoa mada kwa hili,kuitoa hii ngoma na kiba ilikuwa mapema mno,mfalme bado ilikuwa inafanya pouwa,huu wimbo aliotoa na kiba upo pouwa ila hiki haukuwa kipindi chake angesubiri mfalme ichuje,point Noted nitamshauri kama nilivyomshauri kwenye bifu na Jide,tukaomba msamaha na soon Ngoma kali na Jide mtaiskia January hivi au Feb ngoma itatoka.
 
Hongera kwa uelewa Mkuu.
INAUMA KUONA MSANII KAMA F.A ANABAHATISHA GAME.

KUGOMBANA NA JAY DEE ILIKUA NI KOSA KUBWA KULIFANYA KTK MAISHA YAKE YA MUSIC.
NITAFURAH SANA WAKIREJEA PAMOJA.
 
Back
Top Bottom