bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Wajinga sana! Kama wanapenda sana pesa wakaolewe na M-PESA.Kweli mkuu wangu kanuna siku ya nne leo no call/sms
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajinga sana! Kama wanapenda sana pesa wakaolewe na M-PESA.Kweli mkuu wangu kanuna siku ya nne leo no call/sms
Hahahaha
hapa kanigusa personally maana mi stafu pale ferry hata kwenye kigereza huwa sikai!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] eti MaembeNauza maembe
Ngoma nzuri ila kwenye uhalisia haipo achana na papuchi pale sir God alicheza unaweza kuona jamaa lijanja likiwa kitaa kifua kama tembo ila akiwa ndani nakatoto kadogo ka kike kanamsukuma na kidole cha mwisho yani anakua mwepesi kama pamba acha bana
Nimeipenda hii.Mkuu kila demu ana nuksi zake.
Kama una mke wako tulia, kama una wa kudumu tulia nae tu.
swadaktaHuo ni ujinga sasa mnavo waona wamependeza na kuvutia mnafikiri nani anawahudumia mkifata ushauri wa huyo jamaa mademu wazuri mtaishia kuwaita shemeji!