Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Studio Ni kama kwa recordsSiku mwana FA akiimba ngoma kali kuizidi BINAMU naombeni mnishtue...
Hii Binamu imejaa punchline sana,Beat moja nzito kutoka kwa Marco Chali....Flow unyama kabisa!
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Vipi kuhusu "Tuliza ball"? Na ule unyama wa kwenye outro yake sasa!Siku mwana FA akiimba ngoma kali kuizidi BINAMU naombeni mnishtue...
Hii Binamu imejaa punchline sana,Beat moja nzito kutoka kwa Marco Chali....Flow unyama kabisa!
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hii ngoma qmmmmk knm.2. wanapenda feat. dully sykes
hatari sana iyo mzee,Hii ngoma qmmmmk knm.
Kachana saana[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Duh..long time..
Anajua sana..[emoji119][emoji119]Msanii wangu wa hip hop wa mda wote [emoji119] kwangu nyimbo yangu bora kwake n MFALME Umu kaongea Sana juu Mzee