Mwana FA

Mwana FA

"Nishaenda shule bila viatu, nishatoa funza kama buku.
Ipo siku utaniheshimu au utaheshimu hela zangu"

Mfalme ni the best asee!
Baada ya kukumbuka ngoma karibia zote za mwana FA, nimerudi kuifuta hii comment. Huyu fala kila ngoma yake ni ya moto!

Na ukitaka kuona moto zaidi, sikiliza ngoma alizomshirikisha Lady Jaydee. Ni either umpe heshima yake, au aichukue kwa nguvu!
 
Mkuu Mwana Fa hawez kutoa ngoma kali kama Binamu,naungana nawewe,kila siku ipo kwa playlist yngu
Kaka hii ngoma acha...second verse[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] FA hata aimbe vp hii Binamu[emoji119]
 
Siku mwana FA akiimba ngoma kali kuizidi BINAMU naombeni mnishtue...

Hii Binamu imejaa punchline sana,Beat moja nzito kutoka kwa Marco Chali....Flow unyama kabisa!

[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mr Sugu ana elimu Kiwango gani?
 
Mkuu Jr Xavi Hernandez jamaa hajaimba nyimbo nyingine ila nimeona nikushtue kwa alichokifanya kutumbuiza na Linnah jukwaani akiwa naibu waziri.

Asingepanda lile jukwaa ningemshusha credit ila kwa kulipanda lile jukwaa nampa BigUp sana.

Usisahau MwanaFA ametupanyimbo ya kampeni yetu ya KATAA NDOA way back kwenye Bado Nipo Nipo
 
Back
Top Bottom