Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
- Thread starter
-
- #21
Hatari sana[emoji119]Kwa kweli
Na marco cha...liiii.Studio Ni kama kwa records
Sio dhambi..Mziki ni hisia na zinatofautian baina ya mtu namtu mwingine ataona mfalme ni kali zaidi ya hiyo binamu hivyo mawazo na hisia zako zikeanguka kwa binamu
Mfalme Ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mziki ni hisia na zinatofautian baina ya mtu namtu mwingine ataona mfalme ni kali zaidi ya hiyo binamu hivyo mawazo na hisia zako zikeanguka kwa binamu
[emoji3577]hits zake nazipenda
1. mabinti
2. wanapenda feat. dully sykes
Kuna Msiache kuongea...na Kuna Hawajui[emoji119][emoji119][emoji119]Fa na jide ile ngoma ndio kali jina nimelisahau
Kila nyimbo ni hitInshort FA Hana nyimbo mbaya
Duli Mnyama sana kwenye chorus ya wanapendana ile dude balaa sana mamake walahi,sema halikupata airtime ya kutosha.hits zake nazipenda
1. mabinti
2. wanapenda feat. dully sykes
Kwenye Amen kuna mstari anasema "wape kismati cha paka cha kupendwa na wachawi ama mabwana mabwabwa wanaogongwa kabla ya kugonga"Kuna
1 mfalme
2. Ameen ft dully
3.binamu
4. Angalau wee endelea tuu