Mwana FA

Wanapenda, ft Dully sykes.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
Napenda vitovu ila naogopa shanga
Sijui labda mtoto ama labda bado mshamba
Wote wanavaa vikuku ili kuleta picha ya ngono
We subiri ipigwe lager uone wanavyokata mauno...."wanavyopiga mipasuo"
Usiseme wanavutia wenzao au vitovu vinavyoachwa wazi hawalengi jinsia yao
Magauni km vioo mabroo ndo kusudio nyie ndo honey wao.........
....
Nenda club siku za mabinti bure washkaji wanajazana
utadhan wanaambiwa wasilale
wote wanakwenda gym ili body zivutie warembo
ukidhani una mbinu mabinti wana mitego
Usiamini kua hawataki nawaelewa kwa mikogo
wanatamani kuaprochi ila wanaogopa kuitwa mlupo
............

Ukiskiliza hiz ngoma za zamani mambo ya Chitaki au Nina hamu ya kutooo totooo ni TAKA TAKA KABISA.
 
Inakuaga ngumu kuifunika hits Yako ila jamaa alifurukuta kwenye Ile "alikufa kwa ngoma"
 
Mfalme ni kali aisee.

G nako wara wara hajawahi kukosea ukimpa nafasi, ila akiwa mwenyewe anapuyangapuyanga.
 
Tuliza ball remix ft Kasiri
Mwanafalsaa...from Mwanafalsafani album
Haturap.....from Mwanafalsafani album
Binamu ...original version from Toledo lijalo album

Show time....from Mwanafalsani album
 
msiache kuongea
Genta hii ngoma ilinipa courage ya hatare....
Ina Anza....nimewekeza miaka kibao Kwa hapa nilipo mwana......

Aliyo yaimba mwana Fa kwenye huu wimbo ni kwel tupu...

Hustler kama Ali shikuper natimba Chaka tu Chuka.,.. Ali shikuper ni producer wa bean man...am a magnifier na timba Chaka to Chaka...

Huu wimbo kutokana na maisha niliyo kua napitia mbali na nyumbani by then ulinifanya nipambane sana.....nakupata division nzurii sanaa.....
 
Sio kwa ubaya ...bonge la ngoma na lina puch lines nzitooo
 
Hela sio matako kwamba kila mtu anazo/
Zilipo mwanangu usilete mchezo/
Kuwaza hela hakuna kwenda likizo/
Asa wenzangu na mimi ambao atukuzaliwa nazo/
Eti hazileti furaha ukiwasiliza shauri yako/
So swala la mjadala hii ndo iwe ramani yako/
Eeh pambana ziwe zako pigana mwana mpka uchange jina lako
 
Ukiwa na siku yakutafuta nayakupata ipo/
Ridhiki hatoi baba ako kwamba itakufata ulipo/
Nakutia moyo kukata tamaa mwiko/
Sio lelemama ikibidi mnagombea fito/
Penda hela usiziabudu usivukwe na utu/
Roho yako sio ya chuma usiache iwe na kutu/
Sheria msumeno lakin haichani dhiki/
Mawe yameiva na mkaa bado umebaki/
Pesa hainunui furaha ufukara unanunua nini/
Mi nakimbiza hela mademu nimewaachia nyinyi/
Izi sio habari ya mjini ni habari zangu mimi/
Maisha hayana subtitle sio lazima uniamini/
Pata hela maadui zako wanune/
Softlife my nigga mpunga ndo nguvu zakiume/
Au uendelee kulala ka utakula ulichokiota/
asie aso na asile ukija kitaa utatukuta/
Moyo wa champion sioni competition/
Mitihani ya maisha ufauru kwa kwenda tuition/
A.k.a ya ulimwengu
Ninaekutia fimbo za ugoko ka ukufuzwa na mamako shauri yako.
 
Yanaitika yakijisikia maisha usiyavalie kibwebwe na sio lazima yakulipe kwani unayadai? FA NI MWANDISHI MZURI
 
Siwezi kuchagua ila hizi ndo sichoki kuzisikiliza

1. Gwiji
Hii ndio recent hitsong yake, haina umri kila mtu anaaiimba.. Inspirational + motivational. Kizazi kipya mchukue notes sio lazma uimbe matusi raia wakuelewe. Sometimes tunahitaji madini sio kungonoka

2. Yalaiti
"sidhani kama kuna ngoma tamu ya mapenzi ya rap kama hii" Inachuana na kiboko yangu. Inshort hakuna anaeweza rap mapenzi bongo hii kama FA, my views msiniue 😁

3. Msiache kuongea
Best dedication kwa haters

4. Mabinti damdam
Classic hit

5. Mfalme
Ngoma flani kapreach kama gospel inaingia hadi kwa roho. G nako chorus killer aliongezea ladha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.
 
Sitoamka MwanaFA featuring Lady Jaydee hii ilitengenezwa na Bonnie Luv ndani ya Mawingu Studios
 
Ndiyo unakuja kujua leo?

Sasa ngoja nikuwekee list ya ngoma kali za Mwana FA na zote zimejaa punchline za kutosha:

1. Asubuhi
2. Binamu
3. Unanitega
4. Ingekuwa vipi
5. Nangoja Ageuke
6. Dakika Moja
7. Bado Niponipo
8. Me na Mabinti
9. Alikufa kwa Ngoma
10. Hata Sielewi
11. Mfalme
12. Usije Mjini
13. Naongea na Wewe
14. Unanijua Unanisikia
15. Habari Ndiyo Hiyo
16. Asanteni Kwa Kuja
17. Dume Suruali.

Hizo ngoma zote ni moto wa kuotea mbali.
 
1.Mfalme ft Gnako
2.Gwiji ft Maua Sama
3.Hawajui ft Jide
4.Mabinti

FA ni Goat kwenye huu mziki wetu
 
Mkuu Mwana Fa hawez kutoa ngoma kali kama Binamu,naungana nawewe,kila siku ipo kwa playlist yngu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…