Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Wengine humu wanalelewa lakini ndo waandikaji wakubwa wa hesabu hiz za matumizi[emoji36][emoji47]Bongo bana
 
Tatizo wote tunatoka asubuhi na kurudi usiku,hivyo housegirl anajipikia mwenyewe chai na chakula cha mchana,sie wengine wote ni fast foods na mama ntilie kuanzia baba,mama na watoto,kila mmoja kona aliyoko!Sasa piga hesabu mwenyewe inateketea sh ngapi kwa mwezi!
 
Asubuhi supu 500 + chapati 400 = 900
Mchana ugali 1000 + maji kandoro 200 = 1200
Jioni ugali 1000 + miguu ya kuku 500= 1500
Viroba 1000 + sigara 500

Jumla 5100.
Supu ya 500 ya mapupu au ya ngozi! Haahaaaa/
 
Mkuu tangu niko darasa la sita sijawahi kumjua house girl maishani mwangu so huku kulalamika nimeshazoea ila siezi kuweka housegirl wa kunifanyia kazi kwangu nikishindwa kabisa nitanunua mashine.

Mimi hata girl friend wangu (natamani angekuwa humu awathibitishie) hanifulii nguo na akipika ni kwa sababu tu yupo ila sio kwa sababu i expect her to cook!!!

Kwa ufupi tuseme ni mazoea sio kwamba kuna ubaya wowote!!!
Yupo humu subir nimtafute aje athibitishe
 
kibachela zaidi....
asbh chapati 2 + mtori wa 1000 = 1600
(maji ya kudownload)
mchana
wali/ugali/ndizi + nyama/samaki = 1500 + maji ya 700 = 2200
usiku;
wali/ugali/ndizi/kiepe 1500
Total = 5200 per day

Nb. vocha kifurushi cha chuo 1500 week
 
Umenena, Mimi Kuna mama ndo anakuja asubuh anaondoka jioni mabinti WA siku hizi sio kabisa
Mkuu mama yako ni mweupe hivi? Siyo sana maji ya kunde? pale unapokaa umeolewa? Kama ndiyo ww ww ni bonge moja la mtoto ww ni nzuri balaa dah
 
kwa kweli gharama za maisha zimepanda asikwambie mtu...unaweza ukajibana lakini kuhusu kutumia unaweza ukatumia zaidi ya 9000 hapo ndio hujafanya chochote cha muhimu.
 
Lakini broo,mbona watu wanatiririka...au huwa unafunga?
 
Back
Top Bottom