Supu ya 500 ya mapupu au ya ngozi! Haahaaaa/Asubuhi supu 500 + chapati 400 = 900
Mchana ugali 1000 + maji kandoro 200 = 1200
Jioni ugali 1000 + miguu ya kuku 500= 1500
Viroba 1000 + sigara 500
Jumla 5100.
Laki si pesaMi natumia laki mbili tu
Umenena, Mimi Kuna mama ndo anakuja asubuh anaondoka jioni mabinti WA siku hizi sio kabisani rahisi kupata daktari wa magonjwa ya moyo,kuliko kupata housegal sikuhizi
Amechoshwa na maharageMaswali gani tena??? Haya mweeeh....
Yupo humu subir nimtafute aje athibitisheMkuu tangu niko darasa la sita sijawahi kumjua house girl maishani mwangu so huku kulalamika nimeshazoea ila siezi kuweka housegirl wa kunifanyia kazi kwangu nikishindwa kabisa nitanunua mashine.
Mimi hata girl friend wangu (natamani angekuwa humu awathibitishie) hanifulii nguo na akipika ni kwa sababu tu yupo ila sio kwa sababu i expect her to cook!!!
Kwa ufupi tuseme ni mazoea sio kwamba kuna ubaya wowote!!!
Budget yetu haizidi 2,000 tehThi ndio maana nakupenda dota, hapo dona letu na kapili pili pembeni hadi tuvimbiwe.
Mhesabie tu siku za kufilisika.Mchepuko wagu wenyewe mama ntilie af yupo karb na ofice so nnakuuulaje..[emoji23]
asbuui chapati8 supu ya buku2 mayai ya kuchemsha3 maarage ya jero mchana ugali6 na samaki mkubwa sana af jion kwangu/hom
Week ijayo nakuja ZnZ, Nielekeze kwako nije nikutembeleenakula kwangu, hapo zanzibar. Sili kwa mama ntilie wala hoteli
Mkuu mama yako ni mweupe hivi? Siyo sana maji ya kunde? pale unapokaa umeolewa? Kama ndiyo ww ww ni bonge moja la mtoto ww ni nzuri balaa dahUmenena, Mimi Kuna mama ndo anakuja asubuh anaondoka jioni mabinti WA siku hizi sio kabisa
Kabisa, tunashushia na maji tu.Budget yetu haizidi 2,000 teh
Maana sio kwa kufukia huko!!Mhesabie tu siku za kufilisika.