Mwana J.F..Unakula Tsh.ngapi kwa siku?

Mi hata sijui coz chakula nanunua na kuweka ndani. May be if I need different food apart from vilivyopo ndani.
Oeni mbane matumizi.
Ukioa una multiply matumiz yako acha kutudanganya wacha tule ujana
 
1000
asbh desh
mchana desh
usiku kwa mama juma ukoko wa kushbaa
 


Ewaaa karibu tupunguze gharama shemeji...


Naomba kuijua profession yako mkuu


Profession yangu? Mkata bima...


Yupo humu subir nimtafute aje athibitishe


Ahhahahaha mkuu, hayupo I know well-oo!!!
Kuna mtu nampenda huku JF naogopa nikisema nitamkosa bure!
 
Mlo wa mchana unaweza kujazia soft food au maji tu kama asubuhi umepiga supu na vitafunwa vya kutosha, mara nyingi mimibnafanya hivi, mchana njaa ikinibana nakula isiponibana napotezea kula....jioni kula chakula ni a must!!!

Kuna sehemu zingine hela zinateketea kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…