Mwana Jamii mwenzetu yupo korokoroni!

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Mwanajamii mwenzetu yupo korokoroni kwa kosa la fumanizi! Member mwenzetu huyo alikuwa akidate na mwanaume kumbe ni mume wamtu. Hivo jana wakiwa maeneo ya sinza walidakwa wakivunja amri ya sita ndipo kizazaa kilipoanza. Amekamatwa majira ya saa 7 usiku. Bado tunaendelea kumpambania atoke korokoroni tumwombeeni jamani. Kama utagundua leo hajaonekana kwenye jukwaa lolote tumwombeeni jamani maana pia alipigwa kutokana na hiyo fumanizi.
Update- alishatoka korokoroni ila mentally hayupo sawa kwahyo muda wowote anaeza timba humu ndani
N.B Chunguza jirani yako ambaye haonekani yupo kimya sana ujaribu kumwombea na kumkonsole hiyo chini 👇ni picha yake halisia kuna ambao wanammanya fresh, tumwombeeni jamani.
 
Hujaweka wazi tumuombee kwa nani?
Maana kama kafumaniwa ni kosa pia ni dhambi sasa tumuombee kwa Mungu au kwa mzimu wa yule mzee[emoji1787]
 
Poleni. Fumanizi sio kosa la jinai, hapaswi kushikiliwa, unless no amehifadhiwa kituoni kwa Usalama wake Baada ya fumanizi. Jee anashikiliwa kwa kosa gani?, kituo gani?.
P
 
Nimeogopa acha niachane na huyu mke wa mtu kiroho Safi

Acha nitulie tu
 
Poleni. Fumanizi sio kosa la jinai, hapaswi kushikiliwa, hivyo anashikiliwa kwa kosa gani?, kituo gani?.
P
Kafumaniwa na mume wa mtu huko sinza ila yeye hakujua na wala alikuwa hajui jamaa ni mume wa mtu. Hivo wamempiga piga, wakampeleka polisi kwa madai ya wizi na ulaghai kwa kutumia video. Hivo mpaka muda hu sa 5 hii yupo korokoroni. Tumempelekea msosi amegoma kula kabisa ila nduguze wanajaribu kuyamaliza hapa kituoni.
 
Roho mbaya haijengi mbona kuna members watatu wameshafika muda huu wanajaribu nao kutafta solution! Acha uchawi
 
Mambo ya utelezi hayo.

Gawa/Gawiwa with your own risk!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…